Jamani watu wa kiswahili nisaidieni,hii mbona ngumu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani watu wa kiswahili nisaidieni,hii mbona ngumu?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by tabibumtaratibu, Jun 5, 2011.

 1. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Kwenye sarufi kuna kitu kinaitwa VIYEYUSHO,hiv ni vitu gani na aina zake ni zipi?
   
 2. Y

  Yusuph Salehe Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nijaribu hapo VIYEYUSHO ni KONSONANTI ambazo zinazotamkwa kama IRABU. katika kiswahili kuna aina mbili za VIYEYUSHO navyo ni: "W" na "Y" vipashio hivi viwili katika kutamka huweza kutamkwa kama IRABU. Kipashio "W" hutamka kama IRABU "U" Mfano: "Wanacheza" inatamkwa "Uanacheza" utakubaliana na mimi kama utaweza kutamka vema neno hilo, lakini pia kipashio "Y" kinatamkwa kama IRABU "i" mfano: "Yale" inatamka "iale"Sababu hiyo ndio inayofanya vipashio hivi kuitwa VIYEYUSHO. Vilevile katika lugha ya kiingereza vinaitwa SEMI-VOWEL ambavyo ni "W" na "J" Hii ni kwa mujibu wa uwezo wangu. Sijui kama nimekuelewesha kidogo au nimekuchanganya
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kwahyo Y ni kiyeyusho na pia ni kipashio? Kipashio nacho ni nini?
   
Loading...