Jamani watu hawakomi kuwa mke wa Mtu Sumu...Haya Sasa mwingine Huyu kashikwa leo kijitonyama..

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
549142_401577366579707_1270107884_n.jpg
 
Cha kuibia kitamu asikwambie mtu...watu hawataacha haka kamchezo hata kama atanaswa nani...
 
Hiyo 'gesti' kama naifahamu vile! Pole zake.....ajali kazini hiyo. Heeeeee....halafu huyo mke wa mtu alikuwa tayari kisha vua wakati njema bado!
 
Kumegewa kubaya asee!Ndio maana wajasiriamali wamekuja na lile ligundi la kugandana!
 
Wanawake wasiojiheshimu. Hicho kishimo kimekuwa dust bin, kila uchafu umiminwe hapo, loh!

Hii mitego iendelee kuwekwa, iletwe na ya wanaume, pambaf! Tumekuwa kama mbuzi, kupandanapandana hovyo bila nidhamu na wala aibu hatuna
 
Adha yote hiyo chanzo ni kugusanisha makojoleo tuu!! Ama kweli binadamu tuna kazi!!
 
Dah! Hii picha imenikumbusha tukio la huyo mshikaji wangu tukiwa chuo mwaka 2010,
tulikuwa room moja na jamaa na hiyo scandal alitengenezewa akawa amenaswa na huyo ni mwanafunzi,
shigongo aliitoa ikiwa na heading ''ticha abambwa gesti akiwa anamfundisha denti wake math'
 
Ukiangalia kwa haraka haraka hii issue ni kama imetengenezwa ndio maana mwanamke kavua nguo fasta wakati jamaa bado anashangaa. Na wafumaniaji wanadili na mwanaume tu ilhali mwanamke yupo huru kalala na sura yake imestiriwa. Akili kumkichwa siku hizi kutengeneza fumanizi ni dili la watu.
 
Siku izi fumanizi ni dili, demu anakubaliana na mme wake wapate hela ya mboga.
Juzi jamaa yangu mmoja nusura afungishwe ndoa ya mkeka kama sio machale kumcheza. Wakati yuko guest house demu ambae walikutana siku hiyo tu (changu??) katoka kwenda toilet na simu, jamaa machale yakamcheza akamnyatia nyumanyuma na kumsikia akiwaelekeza watu guest ilipo.

Alichofanya ni kurudi fasta na kuvaa kisha kusepa, njiani anapishana na kundi la watu wakiwa mkeka na sheikh mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom