Umeona eeh yamenikuta hayo.Siku izi fumanizi ni dili, demu anakubaliana na mme wake wapate hela ya mboga.
Tabia ni kama ngozi.
Mbona hizi pic kama zile za tukio la Nigeria
Juzi jamaa yangu mmoja nusura afungishwe ndoa ya mkeka kama sio machale kumcheza. Wakati yuko guest house demu ambae walikutana siku hiyo tu (changu??) katoka kwenda toilet na simu, jamaa machale yakamcheza akamnyatia nyumanyuma na kumsikia akiwaelekeza watu guest ilipo.Siku izi fumanizi ni dili, demu anakubaliana na mme wake wapate hela ya mboga.