Jamani wapi naweza pata mbuzi choma na ugali kwa Dar nina hamu sana...

morogoro road nyuma kidogo ya kituo cha temboni
kama unaenda morogoro mkono wa kushoto
pale ni uhakika
 
Kama upo Dodoma fika Carribean Bar pale utapata kitimoto murua sana.
 
Back
Top Bottom