JAMANI WAPENDWA NA HIZI TUKOSE(KAZI ZAIDI YA 2000 SECREATERIETI YA AJIRA)tarehe 25 www.ajira.go.tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JAMANI WAPENDWA NA HIZI TUKOSE(KAZI ZAIDI YA 2000 SECREATERIETI YA AJIRA)tarehe 25 www.ajira.go.tz

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by galagaja mtoto, May 25, 2012.

 1. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ukikosa huna bahati.
   
 2. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  We unadhan zpo kwel? Watu washachukua nafas zao ktambo, we unafurahshwa tu hapo
   
 3. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu kujaribu ndo mpango mbona wengine wanapata?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Jaribu usikate tamaa
   
 5. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Si kwel kwel kwamba kla ktu knawezekana. We ushajarbu kuruka bahar?
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  huwezi kufikiri zaidi ya hapo?
   
 7. fmlyimo

  fmlyimo JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Asante kwa taarifa.
   
 8. King2

  King2 JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Safi sana. Ngoja lazima nitatupia. NAFASI 2568 uwezo wa kupata ni mkubwa.
   
 9. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  yeuwi jumatatu napeleka maombi mungu nisaidie ila zinahusu nini mana kasimu kangu kamegomea njian and magazeten hawajatoa? Kama kuna mtu mwenye maelezo zaidi anijuze.
   
 10. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  afadhali sasa, kelele zipungue kidogo humu jf
   
 11. b

  bodachogo Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Transcript hazitakubaliwa hapo ndo stress zinapoanza.....
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ngoja tujaribu ajira ngumu sana sasa
  yaani kwa nafasi hizi mpya mpya kuanzia miaka 5 iliyopita
  ukiuliza mwenzangu hii nafasi umepataje
  mara mjomba kaniunganishia ,sijui anko anajuana na nani
  lol sijui tunaelekea wapi..kama sio kukaa ndani na CV's zetu..
  Sasa imebakia kupeana michongo ya kuwa Entrepreneur tu hakuna kingine
   
 13. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ubarikiwe mkuu lol!!. Na hizi nazo tukikosa itabidi tukasafishe nyota kwa waganga maana kila sekta wamegusa. Ila tutawapoteza members wengi sana hapa JF kutokana na majukumu kuongezeka. Mungu tubariki jobless.
   
 14. B

  Bokohalamu Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hilo nalo neno,vyuo vngne vinachelewa kutoa vyeti,inauma kweli na hiz nafasi kujirudia ni miaka itapita.
   
 15. s

  stizzo New Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo tena tukkosa 2kaoge maj ya bahar
   
 16. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mungu akujaali sana mkuu.
   
 17. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Jaman tumeshindwa ona anaeweza kuturahisishia msaada tafazali
   
 18. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hivi UNAJUA kuna maelfu ya watu wanahizo qualfication pia na unakuta fan yako mayb zmetoka nafas 45 na wenye vgezo mayb 700 ? Cha msing aply then muombe mungu
   
 19. msani

  msani JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Duh nimeangalia kazi zote hakuna inayoendana na fani yangu wala inayokaribia,mie hapo sina hata pa kujaribu,ngoja nirudi kulala
   
 20. N

  Natafuta kazi Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shukrani mkuu,tunaomba mwenye uwezo aziweke hapa jamvini,wengine simu zetu haziwezi fungua pdf.
   
Loading...