Jamani waoneni wanawake hawa

Asuu

Member
Sep 8, 2011
39
2
Nijambo la kawaida mkena mume walianzia kwenye urafiki wa kawaida na baada ya muda mfupi au hata kipindi kireeefu kua marafiki hatimae hufunga pingu za maisha je? Tuwaangalieje hawa wadada bilaya urafiki au hata kumjua vema kitabia, ukimgusatu wantaka upeleke posa kwao eti kisingizio ni geti kali. Jameni wana jf.hubu nitoeni taka za machooooh!.
 
kwani we ujui kuolewa sasa ni fashion.. kwi kwi kwi., yupo kazini huyo anatafuta mume!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom