Jamani wandugu wa jf ndo nimejiunga hivyo,so nipokeeni please

ecolizer baba

Member
Sep 29, 2010
88
310
Naanza kwa kuwapongeza wale wooooooooooote wenye mapenzi mema na nchi yetu ambao wako tayari kwa mabadiliko hiyo kesho.
PEEEEEEEEEEEEEOPLE'S POWER.naombeni kesho tumfungashie KIWETE,oh sory FISADI MKUU virago vyake apishe ikulu yetu kwa ajili ya Dr slaaaaaaaaaa.Am serious
 
Ecolizer dia,yo are welcom. feel at home. people here are very kind ILA JIAHIDI UZINGATIE MASHARTI NA SHERIA ZA JF OTHERWISE UTAKULA BAN KWEUPEEE.

kweli kabisa kesho ni ndio kwa slaa tuuuu.

viva people's power.......
 
Karibu sana jamvini na hakikisha kesho hupotezi haki yako ya kuchagua viongozi bora.
 
Back
Top Bottom