Jamani wandugu mie domo zege, sijui nifanyaje siwezi kutongoza

Loo
Unaonekana Wewe Sio Domo Zege Ila Akili Zako Mbovu.Umejiunga 27th March 2015 Halafu Unajitetea Wewe Ni Member Wa Siku Nyingi.Inaonekana Tatizo Lako Akili Zako Hazijatimia.

Labda Utuambie Ulikua Unatumia Id Gani Kabla Ya Hii Mpya.Na Kwanini Umebadili Id.Au Uliona Aibu Kuposti Huu Utumbo Na Id Ya Zamani?[/QUOTE

Kumbe mmenikamata kirahisi but jina nlokuaga nalitumia ni walter mtaki sema nimesahau password baada ya kupata simu nyingine ......hapa ni kwa ufupi na nipo humu jamvini almost ka miaka miwili ka sijakosea na nimekua ni mfuatiliaji wa mambo mengi tuuu na nlishaanzisha thread moja tuuu hapo kwa kifupi mkuuu

Naomba maujanja niachane na kasumba inayonisibu

umejaribu soap???.....,no usumbufu kabsaaaa
 
Kwanza kabisa wasalaam wote humu ndani,

Nina miaka 26, sina mpenzi wala mchumba cha zaidi kutongoza siwezi kabisaa naishiwa swagaa. Naombeni ushauri ndugu zangu ili niiachane na huu useja umenishinda.

Karibu mnishauri nipo tayari pokea maoni yenu


Khaaa, nilifikiri unajitambulisha kuwa wewe ni Diamond. Samahani nilikurupuka kukusoma, ngoja waje wapiga punyeto wenzako wakujibu.
 
Dogo kuna tatizo kidogo huwa sometimes linatukuta wengi: Hizi approach za kumpata mwanamke

1. Kiafrica Zaidi
Hii ni ile process unamfuata mwanamke unaomba kuongea naye..anakukubalia unaanza "samahani dada (dada wakati una lengo la kumtawanya?) naomba usinichukulie kama mhuni, ila kwa kweli kabisa kutoka moyoni mwangu mi nimekupenda. Na dada (dada again!) sio kwamba nimekurupuka tu kukufuata, nimekupenda muda mrefu na nikawa nasita kukwambia ila kwa kweli uzito wa penzi langu umekuwa mkubwa nikaona nikwambie. Nategemea jibu zuri toka kwako...naye anakuja na zile.."nimekusikia kaka (si umemuita dada?) ila kwa kweli imekuwa ghafla mno, naomba unipe muda kidogo nikae nifikirie maana kwa wakati huu sikuwa tayari kuingia kwenye mahusiano...

Ya pili nimeikubali ila ni nzuri ukiwa na hela huwezi kumtoa matembez kma cenema halafu huna hela! Kwa mademu wa uswazi inabidi atumie mbinu ya kwanza
 
Yaani umeingia JF tu na kututangazia udomo zege wako?
Join Date : 27th March 2015
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given0

We ulitaka aanze na topic gani? au ulitaka aanze na topic kuhusu Ngwajima? bichwa kubwa akili ukubwa wa jicho la tembo! huna ushauri kaa kimya!
 
Aloo ww ina maana hata kusalimia wadada huwezi ukianzia kwenye Salam mengine yanakuja tuu, lkn lazima ucheki na mazingira upo wp.
 
Dogo kuna tatizo kidogo huwa sometimes linatukuta wengi: Hizi approach za kumpata mwanamke

1. Kiafrica Zaidi
Hii ni ile process unamfuata mwanamke unaomba kuongea naye..anakukubalia unaanza "samahani dada (dada wakati una lengo la kumtawanya?) naomba usinichukulie kama mhuni, ila kwa kweli kabisa kutoka moyoni mwangu mi nimekupenda. Na dada (dada again!) sio kwamba nimekurupuka tu kukufuata, nimekupenda muda mrefu na nikawa nasita kukwambia ila kwa kweli uzito wa penzi langu umekuwa mkubwa nikaona nikwambie. Nategemea jibu zuri toka kwako...naye anakuja na zile.."nimekusikia kaka (si umemuita dada?) ila kwa kweli imekuwa ghafla mno, naomba unipe muda kidogo nikae nifikirie maana kwa wakati huu sikuwa tayari kuingia kwenye mahusiano...blah blah blah.." then unsubiria week unaenda kuulizia unaambiwa "bado nafikiria ila usiwe na hofu jibu lako litakuwa zuri tu (kama una akili hapo unajua tu mambo poa)...well hii approach hata mimi inanipa shida because nikimfuata mwanamke siendi kuuliza maswali so habari ya jibu jibu jibu mi inanibore...na hizi common excuse "ooh..siko tayari coz juzijuzi tu kuna mtu kanitenda kwa hiyo sijapona bado na sijui kama naweza kumwamini mwanamme tena..same shit!!!!!N dont treat me like nafuatilia kazi njoo kesho njoo kesho!!

2. Kizungu zaidi
hapa dogo ni unamuona msichana, unampenda, unatafuta njia ya kumfikia..hata kwa kuiba namba ya simu mahali..unajipanga unamuomba company ya anywhere from cinema, soft drinks to walking together to church..mkiwa pamoja mnaongea vitu mbalimbali, mnajuana if you have anything in common au ni south na north pole. siku inapita

Baada ya wiki au mbili unamuita mahali mnakaa na kuongea vitu mabalimbali about life in general..Nikwambie kitu dogo..mwanamke ukiwa interested naye ukikaa naye huwa anajua tu bila hata we kutamka au kumtolea mimacho au kumchekea chekea..they have uncanny inborn instincts about these things, hawahitaji kufundishwa na mtu.

sasa basi kwa kuwa wanajua tangu mwanzo, we unapokuwa naye sehemu mbalimbali unampa nafasi ya kuamua kama unamfaa au humfai..hamtaulizana maswali...gradually sms zitachange from "za asubuhi kaka?" to "wifi kakuachia saa ngapi?" to nimekumiss dear" "to I love you (too)" coz I love you ya kwanza itatoka kwako. au untill one day ukimfikisha mlangoni kwao baada ya kutoka matembezi utamvuta kifuani na mtakiss without planning it before hand..and it will look natural

sasa dogo wala usihangaike..fuata approach ya pili..uzuri wake haina kukataliwa..mwanamke akiona humfai hatakuruhusu kuleta maneno au chochote chenye mlengo wa kimapenzi so utakula kona bila presha ya kupigwa kibuyu na urafiki wa kikaka-dada utaendelea kama ukiamua

umetisha hizo approach zote nimezitumia ila hii ya pili iko more effective
 
Kwa hiyo miaka 26 hujawahi kua na mpenzi?unapiga tu punyeto?pole sana mdogo wangu

Kutongoza ni sanaa kama sanaa nyingine,unahitaji kujifunza au uwe umezaliwa na kipaji hicho vinginevyo wanawake utaendelea kuwaita shemeji au dada.Kwa ufupi unaweza kutumia mbinu zifuatazo kutongoza na kujipatia watoto wazuri.


  • Mbinu za kiraia(civilian method)
Hii njia ya kawaida ya kutongoza,usione aibu ya kutongoza,uiogope kutukanwa,kupata uzoefu zaidi wewe tongoza kila mtu unaeona anakufaa.
Hii mbinu inakuhitaji uwe mtu wa maneno sana na uongo mwingi sana,maneno matam matam,kwa kuanza anzia house girls,watoto waliomaliza form four wako home tu wamekaa,mama ntilie,watoto wanaofanya network marketing wanaouza sabuni,dawa za usafi nk. ukiona unapata uzoefu unahamia kwa watoto wa vyuo vya ufundi kama veta,amazoni,kilimanjaro institute,zoom nk

Ukiona unakua mzoefu unaenda kwa wanawake decents mmfano wahudumu wa mabenki,wafanya kazi wa maofisini nk,hawa lazima uonyesha wewe ni gentleman,unaomba namba zao za sim,unawaomba kampani,mtoko nk utawapata tu mkuu.


  • Military method/non civilian method
Hii mbinu ndio mwisho wa matatizo,ni sehemu ndogo sana ya wanawake wanaweza kuikwepa hii njia, ni one in a million tu wanaweza kuiepuka hii njia
Hii njia inakutaka uwe na pesa nyingi uwe unahonga tu,hakuna mwanamke asiependa kuhongwa mkuu,ukiwa pa pesa hata kama una sura mbaya unakua handsome,wanawake watakupenda wenyewe wala huhitaki kua na maneno mengi,money talks mkuu

Pesa kwa wanawake ni weapon of mass destruction,ni sawa na nchi kua na bomu la nyukilia,kumaliza vita ni rahisi sana,kumbuka Japan na Usa WW2 wajapan walikua wabishi ila baada ya kupigwa nyuklia wakasarenda wenyewe.

Kila la heri mkuu.
 
jibu rahisi. Google 'Jinsi ya kutongoza' utapata blogs tofauti tofauti ambazo zimejikita spesho kufundisha kuhusu kutongoza.
 
Unaonekana Wewe Sio Domo Zege Ila Akili Zako Mbovu.Umejiunga 27th March 2015 Halafu Unajitetea Wewe Ni Member Wa Siku Nyingi.Inaonekana Tatizo Lako Akili Zako Hazijatimia.

Labda Utuambie Ulikua Unatumia Id Gani Kabla Ya Hii Mpya.Na Kwanini Umebadili Id.Au Uliona Aibu Kuposti Huu Utumbo Na Id Ya Zamani?

mkuu, unampa za uso bila hata kuvaa gloves?? nadhani hakujua kuwa kuna join date inaonekana!!!!

mi nadhani atakuwa better-off akimtongoza kiziwi..ni mwendo wa ishara hakuna maneno so hapo udomo zege hau-apply
 
Wadada poa mbna ni wengi mno ambao huhitaji kumaliza maneno....PESA TU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom