kenny trump
JF-Expert Member
- Joined
- Feb 3, 2019
- Messages
- 438
- Points
- 500
Wakuu, sijajua kwanini hawa dada zetu wamenitenga sana, sijawahi kukubaliwa na demu, kila nikitongoza chalii! Sasa swali langu, je mnadhani wapi nakwama?
Wanasema mapenzi sio sura ni hela kama hela ninazo ila siwapati

wadada naombeni mnipende
Wanasema mapenzi sio sura ni hela kama hela ninazo ila siwapati