Jamani wanavyuo naombeni mnipe ufumbuzi kwa waliokutwa nalo: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani wanavyuo naombeni mnipe ufumbuzi kwa waliokutwa nalo:

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jemsi, Sep 2, 2012.

 1. Jemsi

  Jemsi Senior Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Habari zenu jf,mimi nimechaguliwa kujiunga na mucobs university lakini cha kushangaza jina silioni kwenye web ya chuo,hivi nifanyaje?nimechukua ha2a ya kuwapigia TCU lakin sim haipokelewi na nimewa2mia ujumbe wa email bado cjapatiwa jibu na mi nipo mbali na dar,kwa waliokutwa na hili tatizo naombeni msaada!shukrani
   
 2. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda pale chuoni kwanza watakushauri la kufanya kwani c umeandikiwa kwenye profile yako?
   
Loading...