Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 633
mkuu hapa umenena...najua wavivu wengi wa kufikiri hawatataka hata kusoma hii post yako na wao kuanza ku support maujinga tu bila sababu..kama ishu ya kuharibiwa ikulu au mambo mengine yoyote mabaya kuna njia nyingi sana zingeweza kutumika za siri kutumaliza ambazo ndio kimbilio kubwa sana kwa wabongo...mfano mitumba...maana kama wanaweza kuweka dawa ndani ya nyuzi kabisa kisha nyuzi zitumike kwa chandarua watashindwa vipi kutengeneza nguo kabisa zenye dawa ya kufanya hayo..na unajua wabogo wanavyopenda vya ulaya ulaya...halafu ni kweli hata kama wanataka kuja kutawala tena africa ili iweje...mbona kila wanachotaka saiz wanachukua tena mchana kweupeee.!?? kama ni kuja kuishi tu mbona wapo wengi wanaishi tena raha mstarehe bila kutumia taratibu zozote za nchi...!?? yaani tufunguke kwa kweli..
Unajua wabongo wengi wanaongea sana lakini ukiwaomba kudhibitisha hayo wanayosema, kila mtu anatoka na lake. Ni wepesi kushupalia mambo ambayo hawana udhibitisho wake. Utasikia tu 'Nimesikia wa watu wakisema hivi' Leo hii ukiwauliza nani kasema, utakuta ni mlolongo mrefu ambao hauna mwisho.
Kwa mfano issue hii haieleweki hata imeanzia wapi, ila wote tunaona hapa kuna watu wanapinga tena kwa hoja nyepesi kabisa.
But all-in-all tuko pamoja mkuu. Big up.