Jamani Wamarekani mbona wanakuja Bongo kwa kasi sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Wamarekani mbona wanakuja Bongo kwa kasi sana!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HansMaja, Jun 10, 2011.

 1. HansMaja

  HansMaja Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Jamani kuna nini! Mbona wamarekani wanaonekana kuinyemelea Tanzania kwa kasi sana? Wiki iliyopita tulisikia mwakilishi wao akiwa Ikulu na JK - leo tunasikia Mrs. Clinton anakuja....Kuna siri hapa...Kuna wanachopata huku
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Haujui? Mafuta yamepatikana Tanzania
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mafuta yako wapi? ni story tu bwana. Hawa labda wanakuja kukamilisha ujenzi wa Kigamboni.
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  God bless AMERICA
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Mwenye makamasi hakosi Inzi....wamarekani hawaendi sehemu pasipo na ulaji,ukiona hivyo jua nchi yetu inaendelea kumegwa na kuuzwa kwa miaka 99
   
 6. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Lazima wanadoe kitu,

  Hawaleti Kheri hao.

  Wanakuja kuiba tu.
   
 7. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Wewe labda ni Kibaraka wa America.

  Mbona unaiombea Dua?
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  God bless America
   
 9. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahaahaaahaaa!! Dah
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  kibaraka ama mkimbizi,hivyo lazima aiombee nchi inayomuweka hai duniani,TZ ishauzwa na raia bora wakimbilie huko huko kwa wanunuzi

  nawewe mda wako bado ukifika utakimbia tu,kama si ulaya basi japo utakimbilia zanzibar:lol:
   
 11. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mafuta na Uranium. If it were me, I would have stayed far...they dont have permanent friends.
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Bila marekani hata bajeti yetu tegemezi haina maana. Bila marekani hata net za mbu tusingeweza kuzipata bure............ Bila Marekani rais wetu asingepata bure PHD ya hisani. Ni ujinga kuwatukana Marekani.
  God bless America.
   
 13. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baada ya Japan kufanywa mbaya na nishati ya nuklia, wameapa kupunguza matumizi ya nuklia kama nishati na wao wako juu kiteknolojia, Ujerumani kansela Angela nae amebadili msimamo wake wa kutumia nishati ya nuklia na kuahidi kufunga viwanda vyote ifikapo 2022 na kubakisha kiwanda kimoja, wakati huo wakiwa tayari wametafuta nishati mbadala.

  Sasa sie tukikubali kushawishika kuichimba hiyo uranium tutakuwa tunajitengenezea jehanamu ya duniani ukizingatia teknolojia yenyewe tuliyonayo ni duni! Hayo mafuta tayari wazenji yameshawashawishi kujitenga na kuwa nchi! Kweli hizi nishati zimelaaniwa!
   
 14. N

  Nonda JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mnakumbuka zile bomu za ubalozi za marekani katika Tanzania na Kenya? Kazi ya Al qaeda aka CIA... ndio matunda yake.
  Walitayarisha njia yao, wakaleta "experts" wa counter terrorism na kuimarisha vikosi maalum vya kupambana na ugaidi na sheria za ugaidi.
  Carrot ni fedha za millenium challenge fund na vyandarua na mkonge wa chini ya bahari kupeleka umeme Pemba na Zanzibar.

  Sasa wanakamilisha mipango wavune walichopanda..no free lunch!

  Zile peace corps zilizotawanywa TZ na ubalozi wa marekani,wengi ni CIA operatives....Tz itafumuliwa tu tukiwazuia "wagawa vyandarua" na ufadhili wa bajeti yetu kuchukua "maliasili zao".

  China pia ameonesha kuingia kwa nguvu Afrika, ni move ya kuzuia China ,India zisiwe na ushawishi wa kukwapua "maliasili" za West na US.
   
 15. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Let's wait and see! Ila panapofuka moshi, moto unakuja!
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ziwa Tanganyika lina utajiri mkubwa mafuta hamjui? kuna post ilikwepo hapa wiki iliyopita ilielezea jinsi wenzetu wa congo upande wao washaanza kuchimba sisi bd tunapiga porojo na vi mpango uchwara vya maendeleo sijui miaka mitano. hicho ndo kinawaleta wa marekani bongo
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hebu weka takwimu waliofika hadi sasa au ni hao wawili tu ndio wamestua?
   
 18. P

  Pat Gucci Senior Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgeni njoo
  Mwenyeji apone
  GOD BLESS AMERICA
   
 19. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi hizi conspiracies zinaendelea mpaka leo mimi nilifikiri ni zile enzi zetu pale mfano utasikia kuna kaburu kakamatwa akitega bomu reli ya Tazara Dar na wakati reli hiyo iko all the way from Kapiri, au Tanzania inaongoza duniani kwa upelelezi, au sijui ooh! Uingereza na Marekani wanafanya mipango ya kuivamia Tz kwa sababu Nyerere kagoma kujiunga IMF things go on and on. C'moon guys this is the information age uzushi uzushi hauna nafasi tena.

  Tuna ubalozi wa Marekani, tunapokea misaada yao, raisi wao enzi zile aliwahi kuja hapa, Maraisi wastaafu (Carter na Clinton) wamewahi kuja hapa so what is a big deal of mama Clinton? Ooh sijui mafuta, Uranium hayo mambo yanafanywa na makampuni binafsi na si serikali Marekani wakitaka hayo si wanayanunua tu hayo makampuni?? Let's get real and move on.
   
 20. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Tanzania inafanya vizuri sana ulinganisha na nchi nyingi jirani, ijapokuwa kuna ya kuboresha na watu wengi wa nje wanaona lipo somo la kujifunza na kulitumia mahala pengine duniani.

  Tanzania ndio mahali pazuri zaidi kuishi katika ukanda huu wa afrika. Uzuri huu wa Tz unavutia watu wengi wazuri na wabaya pia, sisi ndio tunaowahitaji zaidi wamarekani kuliko wao wanavyotuhitaji kama resources bado wako mbali sana na gharama ni kubwa kama wata source kutoka kwetu.
   
Loading...