Elections 2010 Jamani walioko mikoani hasa vijijini tunaomba mtuendeshee kura za maoni

Democrasia

Member
Feb 1, 2008
79
3
Jamni mimi niko Arusha na tunapmbana kuhakikisha kuwa hawa Majambazi wanaondoka madarakani mwezi wa kumi mwishoni, upepo huku sio mbaya, kwa sababu kwa sasa ukiuliza watu kumi unaokutana nao watu nane wanakuambia ushindi ni kwa Dr SLAA, neno ambalo nimekuwa mikikumbana nalo ni kuwa "tunampa Dr SLAA japokuwa CCM wataiba" Sasa wataalam hebu tujadiliane hapa Jamvini kuwa ni nini Kifanyike kuhakikisha kuwa Kura zetu hazfanyiwi manuva?

Jana nilikuwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arumeru akaniambia kuwa Jamaaa anatisha na sasa wanajipanga Kivingine, Nikashindwa kuelewa.

Sasa jamani nawaombeni mlioko mikoani mtujuze walau ukifanya sampling kidogo inakujaje kati ya Hili dume la CCM aka Dr SLAA na huyu Mgonjwa wa CCM
 
Back
Top Bottom