Jamani walimu kwa hili hapana

tamimusalim

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
1,825
1,225
Baada ya kimya changu cha muda mrefu leo imenibidi nitinge tena katika jukwaa la wadau wenzangu,hii imenijia baada ya kushitushwa na taarifa moja iliotolewa leo na chombo kimoja cha habari hapa nchi,nilichoripoti kuhusu shule moja ya msingi uko wilaya ya Nachingwea kupitia walimu wake kuwatoza kwa lazima wanafunzi wake tsh 100 kama tozo la usahishaji wa madaftari.

Hii imetushitusha tulio wengi na kusema kwamba aikubaliki,Ndio tunajua walimu mazingira yenu magumu kikazi pamoja na mishahara ila vyanzo vingine mnavyoviibua avikubaliki kabisa ,unawatoza watoto pesa kama ada ya usahishaji heti wa madaftari? Kweeeli walimu jamani?? Nawaomba mbuni vyanzo vingine walimu ,na inasemekana tendo hili linasambaa kwa kasi katika shule nyingi tu
 
Mapya Yaja

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
560
500
Kwani walimu mbona wanatozwa hela za maabara na husemi! Acha walimu wapige deal zao, serikali imewatelekeza nao wanajitafutia kipato. Safi sana teachers songa mbele
 
SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
4,987
2,000

Hivi unajua kama pesa ya ESCROW wangepewa watanzania kila mmoja angepata zaidi ya 7m.
Sasa ujue hao walimu 7m zao zimeliwa na bado elfu10 za maabara.
 
Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
37,511
2,000
tuanze na escrow tuacheni walimu no posho no nini
walimu ndo mnawaonea
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,359
2,000
Acheni kuzusha vitu amba havipo na haviwezekani. Kwanza habari yenyewe haina chanzo na imetungwa. Tangu umesoma wewe uliwahi sikia au kuona kitu hicho?. It's impracticable.
Kwa upande mwingine, hivi unavyotoswa ada ya kumwona daktari ni sawa?. Kwani daktari hana mshahara?. Na pale ubungo ile 200/= ya nini wakati unakwenda kulipa nauli na huku wenye mabasi walishalipia parking jiji?. Ukiweza kuyaona hayo usingeuliza la mwl. na sh.100.
 
NGANU

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,914
1,500
Mbona kiasi kidogo sana jamani,

acheni kulalamika na isitoshe ukiwa chuoni unafundishwa kuwa mbunifu kwa kila kitu.
 
Qualifier

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
1,253
1,225
Kwani walimu mbona wanatozwa hela za maabara na husemi! Acha walimu wapige deal zao, serikali imewatelekeza nao wanajitafutia kipato. Safi sana teachers songa mbele
Absolutely correct mkuu mpe ukweli huyo mbulula anayeona sh 100 ni nyingi kuliko bil 306 za Tegeta Escrow
 
Kumbisalehe

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
598
250
Baada ya kimya changu cha muda mrefu leo imenibidi nitinge tena katika jukwaa la wadau wenzangu,hii imenijia baada ya kushitushwa na taarifa moja iliotolewa leo na chombo kimoja cha habari hapa nchi,nilichoripoti kuhusu shule moja ya msingi uko wilaya ya Nachingwea kupitia walimu wake kuwatoza kwa lazima wanafunzi wake tsh 100 kama tozo la usahishaji wa madaftari.

Hii imetushitusha tulio wengi na kusema kwamba aikubaliki,Ndio tunajua walimu mazingira yenu magumu kikazi pamoja na mishahara ila vyanzo vingine mnavyoviibua avikubaliki kabisa ,unawatoza watoto pesa kama ada ya usahishaji heti wa madaftari? Kweeeli walimu jamani?? Nawaomba mbuni vyanzo vingine walimu ,na inasemekana tendo hili linasambaa kwa kasi katika shule nyingi tu
Jaribu kuwa makini.
 
spiritual hero

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
354
0

Hakiwezi kutokea kitu kam hicho. Mimi ni mwalimu na ninapinga kwa nguvu zote hakuna mwalimu wa kufanya hivyo. Kama yupo toa uthibitisho na niko tayari kushirikiana nawewe kumwajibisha kupitia cwt. Siku zote walimu ni wavumilivu wanyonge na waoga kufanya upuuzi kama huo. Hata inapofikia wakataka kupata chochote toka kwa wazazi hutumia njia halali kama vile kuorganize mafunzo ya ziada wakati wa likizo n.k.
 
ELAFU

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
412
195
Hivi unajua kama pesa ya ESCROW wangepewa watanzania kila mmoja angepata zaidi ya 7m.
Sasa ujue hao walimu 7m zao zimeliwa na bado elfu10 za maabara.
7m unamaanisha millioni 7 kwa kila mtanzania au ndo kweli wewe saa mbovu?
 
Wanstechnical

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
266
250
Hakiwezi kutokea kitu kam hicho. Mimi ni mwalimu na ninapinga kwa nguvu zote hakuna mwalimu wa kufanya hivyo. Kama yupo toa uthibitisho na niko tayari kushirikiana nawewe kumwajibisha kupitia cwt. Siku zote walimu ni wavumilivu wanyonge na waoga kufanya upuuzi kama huo. Hata inapofikia wakataka kupata chochote toka kwa wazazi hutumia njia halali kama vile kuorganize mafunzo ya ziada wakati wa likizo n.k.
Uvumilivu, unyonge na uoga ndio unaosababisha misery katika maisha na mazingira ya ufunzaji...hilo linalosemekana sina uhakika nalo ila naongelea huu unyonge wa walimu usio na tija kulinganisha na taaluma yenyewe ilivyo, ni muda wa kusimama na kuacha huo uoga ili kuleta maendeleo ya walimu binafsi na taifa kwa ujumla
 
kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,267
2,000
Nchi hii kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake, acha wapige hela
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,359
2,000
Huyo mleta uzi ni mzushi tena mchonganishi kwani hana ushahidi na jambo hilo. Kama anao kwanini asiuwakilishe kwa mamlaka inayohusika na walimu? Kama ana bifu na walimu awe wazi tu kuliko ku-generalize mambo kirahisi hivi. Asituvurugie walimu wetu wenye nishani iliyotukuka ya uvumilivu wafanye kazi ya kutuelimishia wanetu japo wameongezewa ka-division 5.
Nina wasiwasi kama ana mtoto anayesoma vinginevyo asingeweka huu ujinga hapa.
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
15,243
2,000
Baada ya kimya changu cha muda mrefu leo imenibidi nitinge tena katika jukwaa la wadau wenzangu,hii imenijia baada ya kushitushwa na taarifa moja iliotolewa leo na chombo kimoja cha habari hapa nchi,nilichoripoti kuhusu shule moja ya msingi uko wilaya ya Nachingwea kupitia walimu wake kuwatoza kwa lazima wanafunzi wake tsh 100 kama tozo la usahishaji wa madaftari.

Hii imetushitusha tulio wengi na kusema kwamba aikubaliki,Ndio tunajua walimu mazingira yenu magumu kikazi pamoja na mishahara ila vyanzo vingine mnavyoviibua avikubaliki kabisa ,unawatoza watoto pesa kama ada ya usahishaji heti wa madaftari? Kweeeli walimu jamani?? Nawaomba mbuni vyanzo vingine walimu ,na inasemekana tendo hili linasambaa kwa kasi katika shule nyingi tu
Hao walimu wana akili sana.Hiyo ni teaching allowance
 
Apologise lady

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
5,993
1,250
kazi kweli kweli, kili mtu anakula pale mkono wake ulipofikia, waacheni walimu wachukue hizo 1000 ili wasahishe bila stress.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom