Jamani walimu aliyepata waraka wa serikali kwa waajiriwa wapya hususani walimu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani walimu aliyepata waraka wa serikali kwa waajiriwa wapya hususani walimu!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Spellan, Jan 24, 2012.

 1. S

  Spellan JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Walimu aliyepata waraka huo tunaomba atuwekee hapa tujue haki zetu, tunapo anza kazi.
   
 2. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nipe muda hope kesho ntaufuata CWT labda wanizingue
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Halafu mkuu mambo yetu yale vp? Umepangwa wapi mwanangu?
   
 4. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145

  M2 wangu wanazingua ukienda unaonekana mwanga! ckukatishi tamaa we nenda 2 kacheki.
   
 5. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wanasemaje mwanangu? Nipe dokezo mana kesho nataka niende huko
   
 6. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mkuu nami kesho nikiwa natinga hapo.wakizingua nawapiga marufuku kukata mshahara wangu.

  Then download sheria ya ajira na mahusiano kazini. Ipo ktkt pdf. Very important.
   
 7. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Me nilienda cwt wakaniambia bado hawajaupata cjui ni kweli au la...yakaambatana na maswali kibao yacyohusiana na waraka mfano umetoka wapi? unautaka wa nini? nk
   
 8. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Asante mluu nami nilitaka kwenda asubuhi hii Cwt na hii inajidhihirisha hiki Chama kinaitumikia ccm 100% through majibu yao
   
 9. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ungewaambia ww ni mwl mpya tu. Wakizingua tunawapiga stop kukata mishahara yetu.
   
 10. S

  Spellan JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35


  safi! Nasikia hata mashuleni unapatikana.
   
 11. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Basi haina noma mie nasubiria ikitoka tu lazima nichomoke na nmeambiwa itakua mwezi wa sita hivi ndio watatangaza tena nafasi
   
 12. S

  Spellan JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kaka, mie nimesitisha kwanza mambo yetu ila mpango uko palepale, nimepangwa Rungwe-mbeya.
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  Hvi mmeisha jua mnalipwa mshahara wa sh ngapi enyi walimu wapya?
   
 14. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba mnipe shule kidogo...
  Nielimisheni kuhusu maana ya waraka wa serikali, hii ni nini?
  Nimeuliza kwenye ukumbi wa Technology kuhusu privacy ya data za mtu binafsi kama kuna policy yoyote inayolinda haki za mtu. Kwenye site ya elimu, matokeo ya mitihani na ajira za walimu zinaanikwa kwa kutumia spreadsheet, je hii ni halali?
  Pia katika list hizo, wanatoa anuani ya sehemu ya kazi, je information hizi zinatosha mtu kujua amepangwa wapi zaidi ya kujua mji/kata, je shule yenyewe inajulikana kwa anwani au wanatumia majina ya shule?
   
 15. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu leo hii tar 25 febr nimeenda CWT makao makuu nimewauliza maswali kadhaa na zaidi bwana mmoja akaniambia ngoja aniitie assistant Head of Advocacy mh Florence M Burudaa yafuatayo aliyajibu: Tulimuuliza je hela ya kujikimu ya sasa ni ya muda gani ambayo inatolewa? Akasema hela inayotolewa niya siku 7 kutegemeana na eneo ulipo
  Pia aliulizwa mwl anatakiwa kusafirisha mizigo kiasi gani? Akasema ni Tan moja na nusu na kila 1km unatakiwa watulipe sh 1000,kwa hyo tumepewa maelezo mengi sana kadhalika wakasema tukifika huko tuendako twendeni ofisi za CWT watatupatia huo waraka kwa sasa bado haujawafikia kwa ujumla jamaa wametuckiliza vizuri sana,kadhalika wakanipatia na katiba ya CWT so kama una swali uliza hadi namba za mawakili wa cwt ninazo,ndio hayo kwa uchache
   
 16. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Haina noma mkuu,mie nimepangwa Kigoma ila yale mambo yakitoka muda wowote nitafanya kama mwanzo,poa kila la kheri
   
 17. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Pole na mitihani mkuu kama cjakosea,kwa maelezo ya awali Basic Salary ni kama 46900 na take home inafika kama 402000 kuna uzi mmoja mdau alileta humu ndani ulieleza hayo
   
 18. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu hawajakutoa chochote (usijali kwa kuwa labda ni mkazi wa hapo jiji, mimi nilitoka mbali,
  wale people wa cwt makao makuu wako peace sana,
  wanapokea na kusikilza vizuri sana,
   
 19. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu ni kweli jamaa wanasikiliza vizuri sana na kukushauri cha kufanya,lingine ukijiamini ndio watakusaidia zaidi
   
 20. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  kumbe mnalipwa vzr,nimeona mahali flan wahasibu wenye shahada wanalipwa 350000tsh.
   
Loading...