Jamani wakuu niombeeni nifanikishe

Kama Dar es salaam ngoja nimwambie Makonda maana alishakataza kugegedana muda wa kazi.
 
Nipo hotelini nishalipia kila kitu namsubir Shemeji yenu ndio Mara ya kwanza ila naona muda unaenda na yeye atokei .. sijapgwa changa la macho kweli
hayo mahindi unayoyachoma sijui utamuuzia nani
 
mnaenda kwa zamu..........sasa ni zamu ya mwingine....zamu yako endelea kuvuta subira anakuja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom