jamani wacheni mambo ya avatars ili tujue ukweli.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
imebainishwa kuwa kama picha yako ya udogoni inaonyesha kuwa umekula jiwe,umeweka usongo,sura ya kazi,ama kwa ufupi umekasirika basi life yako ya uchumba ama hata ya ndoa iko mashakani.mmmmh!wakuu hizo picha zenu za utotoni zipo tuzione???
 
Back
Top Bottom