Jamani wabunge this is too much....

wabunge wetu hawakereki manake wanajua hawana haja ya ku deliver kwa sababu ikifika siku za uchaguzi ccm itachota pesa bot na kuhakikisha wao wanachaguliwa tena.
as long as sera za chama haziwashurutishi wabunge kuwa attentive bungeni, tusitegemee miujiza
 
Serikali na taasisi zake zote wameshindwa kulishughulikia hili suala la UFISADI kwa ile kilichoonekana wazi kuwa ni woga....Mwema alikiri.

Nimefuatalia haya kwa karibu sana.

Baada ya piga nikupige nyingi...Kukatokea kundi ambalo limeamua kuwa sasa kama serikali imeshindwa..Basi BUNGE ndio last option.
Wakaweka hilo wazi wakiongozwa na spika Sitta,Zitto,Mama na wengineo wa CCM.
Sasa hapo MAFISADI wakahisi mwisho wao waweza kuwa BUNGENI kwani wananchi wanaweza wakarogwa tu na wakawarudisha mafisadi madarakani...Either uchawi wa pesa ama mwingine waujuao hao wanaoshinda na kupokelewa licha ya ufisadi wao wa wazi wazi.
Sasa wakaamua walitishe BUNGE...Tunafuatilia kwa karibu kama ni kweli WALITISHIKA!
 
Mngesikiliza Bungeni leo au kwa wanaoona live natumaini wamejionea upuuuzi mwingine
wabunge wa chama changu wanasimama na kumpongeza mkulo kwa uozo wa ufeki wa vitabu vya bajeti, halafu mbunge mmoja ndo katoa kali zaidi anamshauri mkulo asikose usingizi na akiweza aendelee kutengeneza watoto (wazembe) asisikilize kelele za wapinzani.

Nakubaliana na signature ya mwanabodi mwenzetu kuwa IPO SIKU SHETANI ATASEMA ANAONEWA NA WATANZANIA WATAPIGA MAKOFI......

Naunga mkono hoja ya tuandamane mia kwa mia (wanafiki wasema ndiooooooo)
Tanzania inakera nyie!!!
 
hii nchi inatakiwa iendeshe kimabavu kwa miaka 30 hivi, suspend siasa zote, nyonga mafisadi wote, lakini ndo hivyo haiwezekani maana kwa dunia ya sasa utatengwa kuliko north korea
 
hii nchi inatakiwa iendeshe kimabavu kwa miaka 30 hivi, suspend siasa zote, nyonga mafisadi wote, lakini ndo hivyo haiwezekani maana kwa dunia ya sasa utatengwa kuliko north korea
Wewe lazima wapige story wanahadithiana jinsi jana yake walivyoserebuka club na kuchukua vimwana sio ajabu kipindi cha bunge biashara ya ukahaba inashamiri Dodoma.
 
Mngesikiliza Bungeni leo au kwa wanaoona live natumaini wamejionea upuuuzi mwingine
wabunge wa chama changu wanasimama na kumpongeza mkulo kwa uozo wa ufeki wa vitabu vya bajeti, halafu mbunge mmoja ndo katoa kali zaidi anamshauri mkulo asikose usingizi na akiweza aendelee kutengeneza watoto (wazembe) asisikilize kelele za wapinzani.

Nakubaliana na signature ya mwanabodi mwenzetu kuwa IPO SIKU SHETANI ATASEMA ANAONEWA NA WATANZANIA WATAPIGA MAKOFI......

Naunga mkono hoja ya tuandamane mia kwa mia (wanafiki wasema ndiooooooo)

bwana wee hiyoo niliiona ya kulala usingizi na kuangalia shilingi ya zamani yenye mzani wa kafu nikaamua kuzima TV na kuondoka (that was the best soln by then.... I swear...)
 
Lack of seriousness in the parliamentary proceedings is endemic. Bunge la walio siriasi huwezi kukuta watu wanacheka-cheka kwa mambo yasiyofurahisha.

In fakti, hata michango mingi ya hao waitwao wana CCM ni blunt and of no value money paid to these people. Inafikia mtu anasimama anatoa mchango wa bajeti, haeleweki, na akiona hapigiwi makofi anaishia kueleza uaminifu wake kwa chama cha mapinduzi, Basi!

Korea wabunge waliwahi kutwngana makonde, kenya pia waliwahi kutishiana bakora, hapa kwetu wameishia kuvaa suti za mikono mifupi kama wacheza ndombolo.

Tatizo ni process inayotumika kuwaweka madarakani na ni ipi mbinu ya kuwaondoa. Siyo mbunge tu hata Rais. So called mcahakato, una udhaifu kiasi kwamba unaruhusu hata bingwa wa kucheza mayenu apenye na kuwa kiongozi na akisha kuwa. hakuna hatua rahisi ya kumuondoa.

Hivi kweli unaamini kwamba hao watu wanasoma yaliyomo ktk submission za bunge? Labda Slaa.
 
..simply,hamna that much competition ndio maana watu wanadhani wako nyumbani likizo!

..no sense of urgency,i should add!
 
Ndugu yangu percentage (%) ya wabunge wanaosoma makabrasha ni ndogo sana!!! probably less than 5%, Mimi sishangai...
ni kweli kabisa, unakumbuka Anne Kilango wakati anamwaga cheche wakati ana changia ishu ya richmond alipowaaambia wabunge kuwa hakulala alikuwa akisoma report ya mwankyembe na kuwa wao hawajui sbb hawajasoma, wote walisinyaa na kunode vichwa vyao kwa kukubaliana nae...... wengi wako pale kama picnic tuu.. hawana kitu....
 
Ukiwa hapo Dodoma nyakati za usiku baada ya kikao chao, utasikitika kuona kazi inayowasumbua baada ya Bunge. It is ngono, ngono, ngono! hakuna hata muda wa kutafakari mambo ya siku nzima.

Hata hivyo jamani muliwahi kusikia theory za Aristotle kuhusu wanasiasa?
 
Jana jioni wakati naangalia kikao cha bunge nilishangaa sana na niliyoyaona. Hivi kweli wakati kikao kinaendelea kiwe kinaendeshwa na mwenyekiti au speaker ni sawa kwa mbunge yeyote yule kutembea tembea na kusalimiana na kupiga soga na wabunge wengine?

Ninavyojua mimi wakati ninapresent kitu chochote sipendi watu wasimame watembee, wapige soga au hata wasinzie. Watu wanapofanya vitu vingine isipokuwa kusikiliza ni kuonyesha dharau ya hali ya juu kwa yule anayeelezea jambo lolote lile, ni kuonyesha kwamba unasema pumba na haustahili kusikilizwa.

Sasa kama waziri mkuu atasogoa hata kama ni kwa dakika 2 lazima kuna mambo muhimu ambayo yatampita. watatekelezaje yale wanayoelezwa na wabunge kama hawajasikia kinachosemwa? na hapa sidhani kama kuna mtu anasomaga hizo hansard hata kidogo hamna.

Na ndio maana hakuna kitu kinachotekelezwa kikamalizika katika nchi hii, wabunge wanakuwa kama watoto wa chekechea wanaohitaji kufuatiliwa kila saa. afadhali basi wangekuwa wanahudhuria wote hamna mtu na waliopo are busy doing thier own things
 
...hivi zile allowance waliongezewa vile?

Kwenye magazeti ya jana au juzi kuliwa na habari za ziara ya wabunge wa kenya huko Dodoma.
Wabunge wa TZ walichokuwa mstari wa mbele kuwauliza wenzao wa Kenya ni kuhusu ...... MARUPURUPU wanayopata huko kwao !!
 
Tuandamane,, pale ni rest house sio bungeni kama unavyofikiria...ni sehemu ya kupumzikia baada ya uchovu mwingi wa kuselebukia fedha za wananchi jana usiku
 
Tufanye Upembuzi yakinifu hasa kwenye mambo muhimu kama haya mjadala wa budgeti na mengineyo ili 2010 tuwahukumu wale ambao tuliwaona si wenzetu.
 
Back
Top Bottom