Jamani vp kuhusu post za kusoma kutoka wizara ya KILIMO

prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
190
Wandugu nimeona wizara ya afya imetoa nafasi za certificate na diploma katika course mbalimbali, mwenye taarifa yoyote kuhusu wizara ya kilimo kama wametoa au wameshatoa??????
 
Back
Top Bottom