WanaJF nawaombeni sana kama mtanzania mzalendo twende kwenye www.n7w.com ili tuuchague mlima kilimanjaro uingie kwenye seven wonders of the Nature. ukiingia una faida nyingi kwa watanzania wote.katika hili nawaomba tuache ushabiki wowote kwa kuwa utakuwa na faida zake kama sio leo itakuwa kesho. pls lets vote by mail or by phone. all the best when voting.