Mm nafikiri wangetueleza hali ya huyu Mzee wetu, maana naona kweli si yule mrema wa 1995/2000, maana anasikitisha, mwaka huu alinifurahisha kwenye kampeni aliposema yeye ni Jogoo na Mgombea wa CCM ni Mtetea & he proved it.
Kwa hiyo Ali Hassani Mwinyi naye afya yake ina shida? Maana mwinyi wa 1995 na mwinyi wa saasa ni tofauti kabisa.
![]()
Mwinyi wa 1995
![]()
Mwinyi wa sasa
Kama mzee Mwinyi ni mzima, basi na Mrema ni mzima. Mlitarajia kwamba afya aliyokuwa nayo 1995 ndiyo iwe ya leo? Malecela wa 1995 ndiye huyu wa leo?
Hujakosea na wala maccho yako hayakudanganyi kaka, mwenyewe nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana, sasa sijui ni uzee ama ni hali ngumu ya maisha ama ni hicho kisukali ndiyo kinamtesa ama ni nini nashindwa kupata jibu.