Jamani tz tunaelekea wapi na bei ya sukari?

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Nakumbuka kwa mara ya mwisho nlinunua sukari mwez june ikiwa ni tsh. 1800/= na baadh wakiuza kwa tsh. 1700/- lakini hv juz nimepigwa na butwaa baada ya kukuta bei imepanda hadi 2300/2400 tshs. Yaani imepanda kwa zaid ya 25% ya bei ya awali. Hv haya maisha mbona hv mwajameni? Sumatra wana regulate bei za mafuta na nauli kwa vyombo vya usafiri, hv ni nani ana control hz bei za bidhaa/chakula?
 
Gharama za uzalishaji zimeongezeka wewe. Sasa unataka uuziwe kilo shs 500?
 
si tumewaruhusu watunyonye, acha watumalioze hadi tone la mwisho kwa ridhaa yetu wenyewe. kwani israeli wameifanyia nini serikali yao leo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom