Jamani tuwe wa wazi!!!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,596
5,787
Mwanamke unayempenda unamweleza vile unavyojisikia juu yake ila ujue ukweli.
Inapaswa pia na wale tusiowapenda (tunaowachukia) tuwaeleze vile tunavyojisikia juu yao ili wajue ukweli.
Kwanini tunachagua mambo ya kuelezana?
 
Mhhh kumweleza someone kuwa humpendi wakati yeye amekufa ameoza kwako ni issue
by the way love inaweza kugrom hata kwa yule ambaye humpendi
 
Mwanamke unayempenda unamweleza vile unavyojisikia juu yake ila ujue ukweli.
Inapaswa pia na wale tusiowapenda (tunaowachukia) tuwaeleze vile tunavyojisikia juu yao ili wajue ukweli.
Kwanini tunachagua mambo ya kuelezana?

hebu jaribu kufanya hivyo halafu utuletee majibu hapa mkuu
 
Unaweza kudhani kuwa unamchukia mtu flani but kadri siku zinavosogea ukajikuta unampenda na zaidi unamhitaji!
 
Tatizo si kmueleza muhusika humpendi,ila ni kifuatacho baada ya kumueleza hiyo habari. Wengine wanalaumu na kulalama utadhani wanakuombea laana mbele za Mungu......!tena kuna baadhi ya makabila wako dhaifu sana mpaka unaanza kuhisi mawazo yatamuua siku chache zijazo....
 
Back
Top Bottom