Jamani tusijisahau kwenye mapenzi sana na kubweteka

BradFord93

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
910
2,164
Hii hasa inawahusu wale walomaliza elimu zao na still wapo tu home wanachezea smartphone either kwa kupost mitandaon au social conversation na wapenzi wao etc

Napenda kuwakumbusha

1.Mda unaenda na Umri Unaenda

Kadri unavokaa kizembe jua kuwa ndo unavyozidi kujicheleweshea maendeleo yako....plus pia utachelewa kufanikiwa na kufanya mambo ya maana

2.Maendeleo hayanaga mwisho

Wengi wanasubiri wakidhani kuwa mzee magu ipo siku ataalainisha vyuma
Hilo msahau....siku ya kuachia ni siku atakayoondoka madarakan

Siku zote hakunaga kupumzika kwenyw maendeleo....ukfanya jambo moja la maendeleo hukupa hamasa ya kufanya jingine

Hivyo hii namaanisha kuna miradi kibao itavumbuliwa baada ya hii mnayoiona sasa hv kumalizika

NB:..kama kijana umekaa unasubiri ajira za huyu mzee baba....amka....zinduka....tafta kazi...jiajiri....tengeneza maisha kabla hjachelewa....!!yawezekana kupitia hili ukajua mahali sahihi kwa mafanikio yako

Neno langu sio sheria....vijana n muhimu kushauriana
 
Nahisi wengine mapenzi yana walipa zaidi....pengine.

Mapenzi yanaendana na maendeleo asee asikwambie mtu bwana,.vijana tunajiziuka sana hasa pale yanapokuwa hot-hot kama uji wa mzazi unatamani kila muda uwe "online"😅 kama uko na him wako au she wako em muwe na hata ka ratiba ka kufanya feasibility study kwa ajili ya mradi wenu mnaotamani muusimamie kwa pamoja utakao waingizia hata 200 kwa siku,.sio mibebisho empty jomonii...😉😉

Tupendane kwa maendeleo...
 
Back
Top Bottom