barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,323
- 29,584
Kuchoma kadi kwake kunamaanisha nini kwako?? A very simple logic you need to get around it.Mange kavaa rangi gani kwani? Mange keshasema kahama CCM? Mange mnayemtaja mnajua kuwa hilo ni jina la group siyo mtu? Mange atabaki kuwa CCM na ni CCM na anaongea maneno anayopewa na wana CCM. Hawezi kumkubali mteuliwa wa ukawa na hamkubali mpaka kesho. ID kwenye mitandao isiwapotoshe. Tafakari.