Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
30,489
2,000
Mange kavaa rangi gani kwani? Mange keshasema kahama CCM? Mange mnayemtaja mnajua kuwa hilo ni jina la group siyo mtu? Mange atabaki kuwa CCM na ni CCM na anaongea maneno anayopewa na wana CCM. Hawezi kumkubali mteuliwa wa ukawa na hamkubali mpaka kesho. ID kwenye mitandao isiwapotoshe. Tafakari.
Kuchoma kadi kwake kunamaanisha nini kwako?? A very simple logic you need to get around it.
 

kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,072
2,000
dfa6271a1587d0cca591d30f4a85df6f.jpg


1k unred messages in a matter of hours when she just took a nap. Alafu asiwe hero
Hahah, 1k kweli huyu ni zaidi ya hero, watu wanatamani marekani kusiwe na usiku ili wale ubuyu
 

kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,072
2,000
Sasa kuua watu ni sifa? Ni Nani ambaye hatakufa?
Sitetei matusi lakini natetea ujasiri wa kuanika nuruni mambo yaliyofanyika gizani!
Mambo kama aliyofanya Bashite pale clouds kuna watu hata hayo wanasema "ni siri ya sirikali" kisa eti kwa kuwa mhusika ni mteule kipenzi!
Mambo kama ya Bashite kutumia cheti fake hata hayo pia ni "siri ya sirikali" wahusika wooooooootttttttttttteeeeeee kimyaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! Wanaoyaanika wanaonekana wabaya pamoja na kutoa ushahidi lakini kimyaaaaaa!
Ni mazingira hayo yanayowafanya watu wamwone Mange ni shujaa!.
Kwa mfano, kubandika namba ya Gari nyingine kwenye Gari nyingine ni kosa! Wahusika wapo pamoja na kupewa ushahidi lakini kimyaaaa! Hata kukanusha tu wameshindwa! Kisa, MTOTO wa mfalme haguswi!!!!!!!!!!
Tungeujua ukweli huu bila matusi ni nzuri zaidi, lakini ni Mara milioni tukaujua ukweli kwa lugha mbovu kuliko ukweli ukafichwa kwa lugha ya "staha" eti "ni mpambanaji wa madawa ya kulevya" wakati upambanaji kumbe ni kichaka cha kujifichia wakati "akifanya yake"! Mtashangaa tu michuma ya nguvu inapaki kwa mteule!
Mungu anaona!!!!!!!!! Mwaweza kuwanyamazisha wote lakini dhamiri zenu hamna ubavu wa kuzinyamazisha!!!!!!!!!! Kubwa kuliko yote hamwezi kumnyamazishaMungu!!!!!!!! Sema kikombe bado hakijajaa!!!!!! ndiyo maana inaonekana kama vile Mungu haoni!!!!!! Juweni kuwa subira ya Mungu inawavuta kwenye toba!!. Siku kikombe cha uovu kikijaa!!! ndipo mtakapojua kuwa kumbe Mungu alikuwa anaona!!!!!
Kumbe kwenda makanisa ma3 kwa one day na msikitini ilikua pretending
 

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,779
2,000
So true ni mpiga mbiu wa kipekee sana wakukumbukwa kwenye historia ya wapiga mbiu Tanzania
 

Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,332
2,000
Sure... sema wengi huwa wanajaji zaidi lugha anayotumia kuwasilisha ujumbe kuliko kile anachokiwasilisha...
 

Usa-River

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
980
1,000
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.

770267396df5dc6a2e855babd967a128.jpg


Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.

Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.

Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.

Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.

Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.

Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.

Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
 

dadaake

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
937
1,000
Tulipofikia tukiambiwa tumchague mange au sizonje nitavote kwa mange bhaaaaaass
 

samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,551
2,000
Kwenye UTANZANIAN HERO mtoe kabisa,tafuta nafasi ingine ya kumsifia kwa vile vizuri vichache anavyofanya na si kuweka vyote!

Maana akiamua kutukana utasema hana wazazi,akiamua kupamba utawaza na kufikiria siku ya harusi yake ilikuwaje!

Ni vyema ukawa na kiasi ktk kusifia! Japo ni kweli baadhi ya maswala anayaibua Mange yanaleta AMSHA AMSHA

Matusi ya jana pale ubungo unayaweka kundi gani? Maana tulipindwa bila kilainishi
Mange ni hero!
 

Felix Aweda

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
505
250
Anatakiwa kuwa na kitengo chochote hapa Tanzania ili awe na Jukwaa. USA nayo mbali so sauti yake inachelea.
 

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
5,752
2,000
hebu nikuulize imekuwaje tangu jana mange kafuta clip zote za makonda kafunga nahiyo account? kama ulijifanya kiherehere za kukoment mambo ya kijinga your gone myfriend! anza kabisa kuandaa watu wa kukudhamini.
Utakuwa ni Mkolomije au Bashite... Mange yupi labda aliyefuta!!! Nenda kaangalie alichopost Muda machache uliopita bonge la songi
 

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
5,752
2,000
Hivi aliyewataja hadharani mapapa wauza unga sio shujaa na jasiri??? Hii ipo tz tu!
Papa gani aliyetajwa mkuu Bashitelization ni tatizo sana..... Wale makapuku ndio MAPAPA aseeee Tanzania ina tatizo sehemu
 

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,469
2,000
Ni wanamme wangapi wa dar wamepaza sauti zao kulalamika juu ya mkuu wa mkoa wao kma mange? Ukipata jibu utoe na idadi ya wanaime wote wa dar. Jibu utakalopata ni kuwa ao waliobakia hwana maana katika jamii ya dar
mkuu wanaume wa dar wanafanana na dada zao.ndo maana ukiona mwanamke anamimba dar ujue kajazwa na jamaa wa mikoani
 

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
6,743
2,000
Utakuwa ni Mkolomije au Bashite... Mange yupi labda aliyefuta!!! Nenda kaangalie alichopost Muda machache uliopita bonge la songi
aseeee lile song sio la nchi hii. Sipat pcha hyo Hotel yao ikipgwa mnada atakavyowawasha Motoooooo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom