Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

U know what doe it take to be a hero

Yaaan mtu anapelekewa maneno

Anaweka kwa mitandao ya jamii huku ana glass ya wine, miguu juu

Et hero

Kwel hao wanywa kahawa
Na maneno ya kahawa ni kahawani jaman
 
Sasa mwambie mange kimambi aje huku tz apambane sio kupiga kelele kwenye mitandio. Yy hana Cha kupoteza huku km anajiamn na haogopi ni vizuri aje apaze sauti yake. Maana wahenga walisema fimbo ya mbali haiuwi nyoka ati.
 
U know what doe it take to be a hero

Yaaan mtu anapelekewa maneno

Anaweka kwa mitandao ya jamii huku ana glass ya wine, miguu juu

Et hero

Kwel hao wanywa kahawa
Na maneno ya kahawa ni kahawani jaman
Mbona hawakuletei wewe wanampelekea mange?
 
Mm hua napenda kile kipe ngele hua anasema Tanzania ni yetu sote,,,, sasa nawaza nayy Tanzania niyake,??,,kikinuka uku yy nae atapatwa?????... U jst pitty her
Yn itakua balaa kwetu yy anacheka kwa Trump..
 
mm ananiudhi tu akianza tukana dah ila huyu dada anapewa na nondo hatari mm naamini ni watu wawili tu ambao wanaweza kwa uhakika wasimpe za chini chini JPM na Bashite. Wengine wote wamepata pakukimbilia na kwa utawala huu atapewa siri nyingi sana
 
Sasa mwambie mange kimambi aje huku tz apambane sio kupiga kelele kwenye mitandao. Yy hana Cha kupoteza huku km anajiamn na haogopi ni vizuri aje apaze sauti yake. Maana wahenga walisema fimbo ya mbali haiuwi nyoka ati.
 
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.

770267396df5dc6a2e855babd967a128.jpg


Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.

Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.

Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.

Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.

Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.

Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.

Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Hero= me
Heroin= ke
 
Hivi kweli nyie wanaume na wanawake mnaojitosheleza mnasadiki kweli Mange ni hero?? Hii nchi inamatatizo ndo maana viongozi na wenyewe wanfanya watakavyo.. Mange hana chakupoteza tena Huku kumbukeni hilo
Wewe umefanya nini kumzidi Mange? Id to fake mwenzio anatumia jina lake, dume suruali
 
Mange amethubutu kuongea Yale ambayo hakuna mtanzania anaweza kuongea. Anastahili kupongezwa,mengineyo ni mapungufu ya kawaida ya kibinadamu.
 
Mange ungependwa na wengi kama ungepunguza matusi watu wengi wangekuelewa alkini likija swala la matusi hapana bwana
 
Back
Top Bottom