Jamani tuseme ukweli, unabii wa Kakobe umetimia pasi na shaka

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,325
719
Mimi nimefanikiwa kuusoma unabii wa Askofu mkuu Zakaria Kakobe ulio kuwa unakionya chama tawala CCM kwamba Mungu amekiona kuwa kimepotoka na sasa anakitaka kiingie katika toba vinginevyo kita kumbwa na mgawanyiko mkubwa.

Walimpuuza Kakobe sasa wanaona jinsi walivyo sambaratika.ni jambo ambalo usinge fikiria mzee kama Kingunge kuhama ccm,mtu aliye kianzisha chama cha TANU na hatimae CCM.

Ni unabii ambao viongozi wa CCM wanajikaza kisabuni kuukubali. Lakini unabii wenyewe unasema hauhitaji kukubalika unajitegemea..
 
MaCCM wanafanya kazi inside the box.
Hawakubali kutoka nje ya box
 
Na hata angekuja mtabiri aseme kingunge atapanda jukwaa la wapinzani mafisiem wangemraruararua
 
Ni Lowassa 2015 Hakuna namna Nyingine, Na HaKuna Wa Kumzuia, Ikatokea Mtu Kujidanganya Kufanya Ngiriba na

Figisufigusu...Ni Kutuletea Shida Watz.
 
Tatizo la ccm ni kiburi na kufanya siasa za mazoea
Yaani wao wanaamini kuwa kila siku watakuwa wanatufunga waTz magoli ya mikono.

Safari hii tupo imara hakuna goli la mkono tutakaloliruhusu watufunge hao magamba.
 
Mimi nimefanikiwa kuusoma unabii wa Askofu mkuu Zakaria Kakobe ulio kuwa unakionya chama tawala CCM kwamba Mungu amekiona kuwa kimepotoka na sasa anakitaka kiingie katika toba vinginevyo kita kumbwa na mgawanyiko mkubwa.

Walimpuuza Kakobe sasa wanaona jinsi walivyo sambaratika.ni jambo ambalo usinge fikiria mzee kama Kingunge kuhama ccm,mtu aliye kianzisha chama cha TANU na hatimae CCM.

Ni unabii ambao viongozi wa CCM wanajikaza kisabuni kuukubali. Lakini unabii wenyewe unasema hauhitaji kukubalika unajitegemea..

Siku zote unabii hua haupokelewi na hasa kwa mtu/watu waliojazwa na roho Farao,maana wanakuwa na dharau,kiburi, majivuno na ubabe.Lakini kwa upande wa Mungu mpango wake hua haubadiliki, na utasimama vilevile mpaka ukamilike.Na nabii hapati heshima kwao.
 
Tukutane oktoba 25, 2015 mimi, mke wangu , mdogo wangu, shemeji ,baba , mama , shangazi zangu nane tunaenda kuweka ukawa(chadema) kuanzia udiwani ubunge hadi uraisi.
 
Tatizo la ccm ni kiburi na kufanya siasa za mazoea
Mkuu kwa kiburi hawa jamaa wana zaidi ya PhD, hivi unakumbuka pale dodoma kwenye bunge la katiba???..... Mimi nili wachukia tangu kipindi hicho
 
Back
Top Bottom