Msaada: Namna ya ku-withdraw pesa kutoka kwa broker kwa njia rahisi kwenye biashara ya Forex

Kwa kuwa nakupenda ngoja nikupe kaushauri fulani kazuri.Kama umeamua kufanya hiyo biashara usiishie tu kwenye kutrade currency,jifunze kutrade financial market nzima.Jifunze kutrade stocks,bonds pamoja na commodity pia.
Nazielewa vizuri tu. Nimesemea fx in general tu
 
Mimi nilitumia BTC kudeposit na kuwithdraw Nilikuwa natumia localbitcoin. Ila majuzi nimesbuliwa na wakala wa mule dakika 20 mpunga hauji. Mi broker niliyemtumia ni Legacy FX
Ni broker gani unamtumia? na ulitumia njia gani kwenye kudeposit?
 
Subiri Mrejesho Utasikia Amerudi Analia, Anatia Huruma.....
Ndo maana hatuendelei jamani. Kama Wewe yalikushinda kubali tu uendelee na Maisha. Nimepoteza pesa sana, umewahi kuniona nikikulilia 🤭
 
Ni kumvizia anapopenda kwenda kula au kunywa huyo broker halafu unampiga roba moja ya shingo hadi atoe hela yako ndio unamwachia au hua hamuonanionani mtaani?
 
Jamani habari zenu wadau?
Mimi nimeweza kutengeneza faida kwenye hii biashara lakini naona kuna Namna ntafeli wakati wa kuwithdraw. Najua mtaniambia kuwa kwa nini sikuwaza hilo kabla ya kuanza? Naombeni Masada. Magwiji wa kuwithdraw/kutoa pesa kutoka kwenye account zao za forex hadi Benki/ Mpesa, Tigo Pesa naombeni msaada. Maana issue sio kudeposit tu. Kingine ni kuwa niliambiwa lazima nifungue bank account na ma benki ya nje mf: standard chartered, Kcb etc ili nisipate usumbufu kwakuwa benki kama CRDB huwa ni wasumbufu. Mbona wakati wa kudeposit Nilikuwa naweka pesa kirahiiisi mfyuu. Haya jamani, ntashukuru kwa michango yenu
Kwanza hatujui broker unae mtumia, kama kuna templer through agents, ex anatuma direct kwenye number zako, wengine bank account au izo netler na skrill
 
K
Na ile njia ya skrill je? Je nikitaka kuwitdraw via skrill si ninaweza kuwithdraw directly kwenye VISA card Au itategemea na benki na benki

Na ile njia ya skrill je? Je nikitaka kuwitdraw via skrill si ninaweza kuwithdraw directly kwenye VISA card Au itategemea na benki na benki
Kwa experience matumizi ya skrill si favourable kabisa tena hapa tz kwa traders wachanga. Tafuta nyingine
 
IMG-20220607-WA0001.jpg

Piga iyo namba apo tatizo lako lita tatuliwa
 
Boss mzito wa forex , the way uliyotumia deposit to Broker ndio way hiyo hiyo utakayo tumia withdrawal..... Simple answer no more questions......!!!! Everything is up to U , good luck 👍
 
Back
Top Bottom