Jamani TUNDU LISSU yupo humu JF?Watanzania wenzetu wanaangamia.

Nairobifly

Member
May 3, 2012
75
26
Wiki hii vyombo vingi vya habari hususan
magazeti yameripoti vifo vya watu waliokufa kutokana na njaa katika Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCA). Mbali na vifo hivyo kuripotiwa lakini pia kuna habari kuwa wananchi wanaoishi eneo hilo wameanza kukimbialia maeneo mbalimbali ndani ya nchi na hata nchi jirani ya Kenya kwa lengo la kutafuta maisha na pia baadhi ya familia zimeanza kusambaratika. Sababu ya mlipuko wa njaa ktk eneo hilo ni baada ya serikali kukataza kilimo cha kujikimu (subsistance cult.). Ikumbukwe kuwa eneo hilo linatambulika kama ardhi mseto (multiple land use). Kitendo cha serikali kunyima kilimo hicho ilionekana ni ukiukwaji wa haki za binadamu na baadhi ya wataalam akiwemo gwiji wa masuala ya sheria Prof.ISSA SHIVJI hasa ktk kitabu chake cha THE MASAI RIGHT IN NCA. Katika utafiti wake kuhusu suala la kilimo ktk eneo hilo alimshirikisha vyema tena kwa karibu mtaalam/mhe. TUNDU LISSU kama research ass.wake. Ninacho amini kama mfuasi wa cdm ni kwamba cdm ni mkombzi wa mtz, swali langu ni kwanini cdm au uongozi wake ukiwemo wewe LISSU mko kimya wakati watz wanaangamia kwa njaa? Kama upo humu nakuomba useme chochote kwani unafahamu fika kuhusu kinachowakumba watz wenzetu huko. Karibuni kwa kuchangia wandugu
 
R.I.P wadanganyika. This is very dangerous. Mchango wangu baadae nitarudi.
 
Hii ni aibu kwa tanzania hasa kwa eneo lenye utajiri mkubwa kama Ngorongoro. Hii taarifa imerushwa pia na star tv. U cant believe vichanga vinakufa kwa utapiamlo. Shame upon you sisiem
 
CDM ni mkombozi wa wachaga sio watanzania wote!

Kwa sababu silinde na sugu ni wachaga na waliowachagua huko mbeya ni wachaga

Kwa sababu tundu lisu ni mchaga na waliompigia kura singida ni wachaga

Kwa sababu Mnyika na mdee na waliowapigia kura kule Dar es salaam ni wachaga

kwa sababu wenje na hainess kule mwanza na waliowapigia kura ni wachaga

Upumbavu wa kujibu hoja kijinga namna hii unautoa wapi wewe??????? inaelekea mpaka kichwani kwako unatumikishwa na wapumbavu wao upotoshaji.
 
Waambie adolay, nimeipenda ulivyo mjibu, mtu unaleta mada seriously mtu anaweka pumba zake hapa.
 
Kuna watu baba zao ccm basi kila kinachon wekwa hapa wanaona kama kitawatoa madalakani na kukosa HIZO PESA ZA UFISADI.
KAMA HANA CHA KUCHANGIA AKAE KIMYA! SIJA FAHAMU HUYU JAMAA NI WAKIKE AU KIUME,NA MTOTO AU MKUBWA HANA HATA LA KUCHANGIA KILICHO BAKI NI KUCHOCHEA UBAGUZI WA KIKABILA.
KWANI MCHAGA AKIWA CCM SAFI AKIWA CHADEMA NDIYO MCHAGA. PUMBAVU MKUBWA.
 
CDM ni mkombozi wa wachaga sio watanzania wote!
Kiherehere kama NAPE, KABLA HATUJAANGUKA 2015 TUNAANZA KUANGUKA NA WATUMISHI WA SERIKA-HAKIKA CCM IMEKWISHA. kwa taarifa watumishi woote tuko cdm. Poleni wana ngorongoro
 
Hivi Ngorongoro haina mbunge? Hata mi nimeona taarifa hiyo starTv kweli hali inatisha watu wanakufa katikati ya utajiri.
 
CDM ni mkombozi wa wachaga sio watanzania wote!

toa mawazo mgando. Inamaana mimi mnyakyusa chini ya mr. 2 nimekuwa mchaga? Au msukuma wa mwanza chini ya wenje amekuwa mchaga? Au wakurya chini ya nyerere ni wachaga?
 
toa mawazo mgando. Inamaana mimi mnyakyusa chini ya mr. 2 nimekuwa mchaga? Au msukuma wa mwanza chini ya wenje amekuwa mchaga? Au wakurya chini ya nyerere ni wachaga?

Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake.
Hako kaugonjwa kaubaguzi kanaitwa CCM mania, kaliletwa na JK mwaka 2010. Naogopa jinsi ugonjwa huo unavyosambazwa kwa kasi na Wapumbavu wanaoipenda zaidi CCM na kuichukia Tanzania.
 
Hivi Ngorongoro haina mbunge? Hata mi nimeona taarifa hiyo starTv kweli hali inatisha watu wanakufa katikati ya utajiri.
Mbuge yule hamna kitu ndugu yangu. Mbumbumbu kama wanaccm wenzake. Lakini wasomi wa eneo hilo wako wapi?wanasheria kutoka eneo hilo wengi kama siafu, wahifadhi usiseme, na wataalam wengine wengi lakini wamekaa kukodoa macho alihali wenzao wanakufa kwa njaa. Ninyi wasomi na mbuge wenu bora mfe badala ya hao vichanga wanaokufa kwa utapia mlo.
 
Mbuge yule hamna kitu ndugu yangu. Mbumbumbu kama wanaccm wenzake. Lakini wasomi wa eneo hilo wako wapi?wanasheria kutoka eneo hilo wengi kama siafu, wahifadhi usiseme, na wataalam wengine wengi lakini wamekaa kukodoa macho alihali wenzao wanakufa kwa njaa. Ninyi wasomi na mbuge wenu bora mfe badala ya hao vichanga wanaokufa kwa utapia mlo.[/QUOTE
AMEN!!!!!!!!!!
 
Hao kama wame zuiriwa kufanya shughuli zakilimo ina bidi waiombe serikali iwape sehem nyengine mbadala kuliko kuendela kuishi hapo, ninacho jua na wascho jua wengi ni kwamba tanzania hakuna kiongozi alie madarakani kwaa jili ya watu wake hapana viongozi wote wapo kujinufaisha2 kwaiyo usidhani eti mbunge wako ndiye mkombozi wako una jidanganya chukua hatua sasa
 
Poleni sana watu wa Ngorongoro lakini believe that these leaders who are betraying you one day will fall and the country will be taken by leaders of the people who will be saving Tanzanians and not their families as what is done today.
 
Back
Top Bottom