Jamani tunabishana hii rangi ni rangi gani?

Passed

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
561
156
Naomba kujua hii colour maana tumebishana hatujapata majibu mwingine. Anasema kaki mwingine carrot mwingine rangi ya maziwa.
IMG_20160101_032438_823.jpg
 
Kwanza utueleze vizuri hilo Shati ni la nani na mlikuwa mnabishana na nani! Na mlikuwa sehemu gani?
 
Jamaa yangu nguo imeshafuliwa mpaka imechakaa utaijua rangi yake sasa.

Au na hiyo simu unaturingishia, haya bana.
 
Mkuu huo ni mchupi wako!.. mbona mkubwa hivyo..?
Kilikukuta nini mpk ukashonesha mchupi mkubwa namna hiyo..?
Huu ndo mchupi wa kwanza kuushuhudia una kola!!
 
Kuna standard colors ambazo zina majina ya moja kwa moja like red, blue, green, yellow, orange, indigo, violet, etc. By mixing these, billions of colors can be obtained with different appearance, strength, opacity, texture, gradient, etc. which will make each of them different. So, in short, sio kila rangi ina jina la moja kwa moja kwamba rangi hii inaitwa hivi au vile kama zilivyo standard colors.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom