ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,460
Hay waungwana jamani tumuombe BAKULUTU anaumwa sana tumbo kwa habari nilizopata kwa ndugu yake wa karibu sana BAKULUTU amelazwa huko TUMBI KIBAHA yaani hata kuongea hawezi jamani tumkumbuke best wetu kwa sala na dua Mungu amponye na amkumbuke usiku huu wa leo alitoka kuumwa SWEETYLADY sasa BAKULUTU jamani nini tena hii kwa yeyote anayetaka kwenda hapo aonane na RUTTASHOBOLWA AU LADYFURAHIA tutamsaidia apajue hapo hospital alipolazwa kesho nitafuatilia nijue zaidi na niwaambie yatakayojiri. JAMANI WANAJF TUMUOMBEE MWENZETU RAFIKI YETU BAKULUTU.