Jamani tumuombee bakulutu anaumwa sana

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,460
Hay waungwana jamani tumuombe BAKULUTU anaumwa sana tumbo kwa habari nilizopata kwa ndugu yake wa karibu sana BAKULUTU amelazwa huko TUMBI KIBAHA yaani hata kuongea hawezi jamani tumkumbuke best wetu kwa sala na dua Mungu amponye na amkumbuke usiku huu wa leo alitoka kuumwa SWEETYLADY sasa BAKULUTU jamani nini tena hii kwa yeyote anayetaka kwenda hapo aonane na RUTTASHOBOLWA AU LADYFURAHIA tutamsaidia apajue hapo hospital alipolazwa kesho nitafuatilia nijue zaidi na niwaambie yatakayojiri. JAMANI WANAJF TUMUOMBEE MWENZETU RAFIKI YETU BAKULUTU.
 
pole sana ila mbona kama dalili za mimba za utotoni
 
Mkono wa uponyaji wa Jehova Rafa na ukamponye ndugu huyu Bakulutu
 
Nguvu ya uponyaji ishuke juu yake kwa uwezo wa jina lipitalo majina yote.Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom