Jamani tuanchane na CCM haifai kutuongoza kwa zama hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani tuanchane na CCM haifai kutuongoza kwa zama hizi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Anyisile Obheli, Oct 15, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CCM sasa kama ni suruari basi ni zile Tokyo, na kama ni kiatu basi raizoni najua
  wengi mtakuwa mnazifahamu hizo suruali aina ya Tokyo zilivyotamba sana miaka ya 1992-1994 ama kiatu kile jamii ya raizoni alimaarufu stuli, vyote ni zilependwa.....

  tukiweke pembeni kwa sababu ni chama ambacho kwa hakika hakiwezi kuenda sawa na
  karne hii ya maendeleo bila longo longo, ili tukisubiri hapo baadae kama kinaweza kuja tena kushika hatamu kwa mlango wa ''OLD IS GOLD''

  lakini kwa sasa ambao ni wakati wa kileo hakifai...........

  ili kuthibitisha kwamba ni msomi, una akili timamu, akili yako siyo ''shake well'', hujatekwa fikra zako na mafisadi basi CHAGUA CHADEMA.........CHAGUA Dr Slaa WA UKWELI siyo Dr feki wala siyo Dr wa uongo tena siyo Dr wa kupachikwa
   
 2. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,212
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Use by date ya CCM ilipita kitamboooo! Waondoke basi kwa amani. Si lazima kutembeza mapanga kwanza!
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  ..................korekti and kristal kliar
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu inamaana hiki chama kime expire?
   
 5. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ewaaaaaaaaaaa zama zake zimepita mkuu, kama ni namba za magari basi TDY
   
Loading...