Jamani tuache masihara. Hizi pisi kali ni hatari kuliko Corona

Alikiuka terms and conditions za matumizi. Ni sahihi kumnyang'anya simu. Hako kadada kashenzi sana. Mwamba alikuwa anakalinda mjini kangebaki na mtu mmoja. Unawezaje ku-sex na mtu zaidi ya mtu mmoja na bila protective gears.
Anakalindaje ukishakuwa na mke unamlindaje ambaye hujamuoa wewe uko na mkeo yeye akae na nani, angekuwa ana mpa ya kutosha hela na kumridhisha asingehangaika, hafu kumpa mtu kitu na kumnyang'anya ni lack of maturity
 
Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa.

Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki kakajaa. Baada ya kufahamiana sana ndo nikajua kalisoma IFM na ni yupo tu amepanga anafukuzia kazi mjini hapa. Inshort alikuwa kama kakata tamaa na anaishi kwa kuunga unga. By that time alikuwa hana smartphone alikuwa na kasimu ka Nokia tu kadogo.

Siku moja nikaomba kukatoa out akakubali nikaenda mpaka kwake kumchukua ila sikuingia ndani kwake. Na jioni nikamshusha nje nikasepa. Mwanzo niliona kama hasrespond kama nimemfosi kumtongoza. Nilichofanya nikafuta namba yake kwenye simu yangu na nikasema sitamtafuta unless yeye aanze na ndipo nitapata namba yake tena. Nilikaa kama siku 3 no text wala call. Siku ya nne ndo akanicheck analalamika why hata simtafuti mara nini. Nikajitetea.

Baadaye akaniambia anaumwa yuko home. Nikaenda fasta namuuliza nini shida hasemi nikataka kumpeleka hospital akagoma akasema nimnunulie chakula mana hajala toka asubuhi. Nikasema twende tukale hata mimi sijala. Nikasema tukale hotel moja iko jirani akagoma akasema ni bora hio hela nimpe ili anunue apike vitamsave anaghalau siku mbili tatu.

Hapo ndo nikajua anashida ya chakula ndo akajieleza kuwa anasiku ya 3 hana hela wala chakula ndani. Mwanaume nikampeleka sehemu tukala nikampeleka akanunue mahitaji ya mwezi mzima na nikamwachia hela. Since then nikamwambia ukiwa na shida niambie. Mama yangu hapa ndo nikawa ndo nishafungulia maji na koki imekatika. Anyway. guzman_ nikaendelea kuhudumia na kula mzigo. The best thing ni kuwa kanajua haka katoto aisee nusura nisahau familia. Papuchino inanguvu asikwambie mtu. Nikaenda dukani kwa jamaa yangu nikachukua samsung S9 Plus mpya nikampa zawadi ila nilichofanya nikahack ili nijue tabia zake.

Mazee acha kabisa. Nikaja jua kanadeti na watu zaidi ya 6 na kanawapiga mpigo kila mmoja. Nikaja jua kuna wahuni wanamwinamisha hafu ni bodaboda. Wanamrushia buku 2,3 mpaka 5 akale jioni wanamwibukia wanamla wanasepa. Kuna huyo mmoja huwa anaenda kwake analala asubuhi anaenda kwake. Aisee iliniuma sana mamaaae. Hafu kuna kamoja nadhani ka boyfriend kake ka chuo anakaambia nimepiga piga mishe mpaka nimepata simu kwa kuji bana bana matumizi na kajamaa kanasema kamtumie nauli aende mkoani akaliwe.

Hapo ujue sijamaliza kulipa hio simu kwa jamaa. Sema jamaangu mwelewa hata mimi huwa nampa tafu akipinda. Jana nikasema sasa likalokuwa na liwe nikakachukua nikaenda lodge nikajisevia, mwisho nikamuuliza A-Z kakakataa nikachukua simu nikatoa line nikampa nauli 2000 nikawasha gari nikasepa. Kamepiga simu kanataka nafasi kakae na mm kanieleze yote. Nikasema eleza kwenye simu, kanasema eti kwa vile alikuwa na hali mbaya kiuchumi ilibidi afanye vile angalau awe anapata ya kula akikosa kwa mmoja angalau mwingine atampa. Mara bra bara. Nakauliza ulishawahi kupima UKIMWI, lini na majibu yalikuwaje hakajibu kanalia tu.

Yaani hapa mazee nimekaa najionea huruma. Sio muda naenda kupima hapa. Kazi hata haziendi wazee. Hizi pisi sio kabisa kuanzia leo nimeamua kupoa kwa sasa.

Nitaleta mrejesho
weka Picha zao
 
Umenitoa kwenye reli ulivyosema ulikua unakula kavu dah,seriously zama hizi mzee hata awe km malaika ndomu ni muhimu sana,ukipona kwenye msala huu hope u got a message
 
Lakini leo kwa mara ya kwanza namtetea mwanamke muhuni, mkuu usimjudge sana, hali ya uchumi huenda ilimlazimisha kweli. Wanapitia mengi hawa, sometimes hata pad wanakosa
 
Pole sana bosi hizi pisi za chuo ndio jinsi zilivo yani kisa Uchumi wa kati unalipa haha anyway anza kutumia matunda matunda
 
Tatizo mkisaidia mnataka na ngono aisee. Sometimes saidia tu afu uwe kama umetoa sadaka tu, mabinti wanapitia mengi. Saidia then fanya yako, na hiyi inatokana na kununua sana mbunye sasa unaona huwezi msaidia mtoto wa kike bila kumla.

Hapo ungetoa zako msaada ukasepa, iyo mbunye angeileta mwenyewe ni wewe sasa ukatae au upige na umpotezee mazima.
Hilo nalo neno
 
na wewe hukua na mke? nimemwonea huyo dada huruma, hujui ametoka kwenye familia gani, si support ngono kujinufaisha kimaisha, lakn mwanamke akifikia mwisho wa kuwaza anaweza akafanya chochote, ni tofauti sana na sisi wanume! bila shaka nae amesalitiwa vya kutosha, nae anajilizaliza tuu hivyo hivyo, msikilize na msamehe! mpe nafasi ya pili kumchunguza, akibadilika mwoe! maisha haya ya nyuma yalikua magumu sana kwa wahitimu wa vyuo!!
 
Back
Top Bottom