mwaka ukianza tu yumo ameshaanza kufanya mazoezi madogo madogosidhani kama inaweza kufutwa ebu angalia vizuri ikibidi nenda kwenye google link type BARCA SPECIAL THREAD AT JF utaletewa moja kwa moja Et vipi messi hajapona tu? Wish him quick recovery.
wakuu wote wa barca na wa jf thread ya barca humu ndani imefutwa au?