Jamani Thread ya barcelona mbona nikiingia jf siiyoni au imetolewa

chebi

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
1,737
761
wakuu wote wa barca na wa jf thread ya barca humu ndani imefutwa au?
 
sidhani kama inaweza kufutwa ebu angalia vizuri ikibidi nenda kwenye google link type BARCA SPECIAL THREAD AT JF utaletewa moja kwa moja Et vipi messi hajapona tu? Wish him quick recovery.
 
Achana nao, dawa yao Pellegrin na Simeone imeshaiva, they are old news
 
sidhani kama inaweza kufutwa ebu angalia vizuri ikibidi nenda kwenye google link type BARCA SPECIAL THREAD AT JF utaletewa moja kwa moja Et vipi messi hajapona tu? Wish him quick recovery.
mwaka ukianza tu yumo ameshaanza kufanya mazoezi madogo madogo
 
Back
Top Bottom