Mwandishi naona hujafuatilia sana ulichoandika,au labda una hamu ya ubishi.Waarabu omba omba mbona wapo wengi tu,ila suala la uchumi wao kuanguka eti sababu ya alternative energy sources bado kidogo.Wao wenyewe wamelijua hili mda mrefu ndo maana waka diversify uchumi wao,ivo hawa jamaa sio 'one trick ponny' kama unavyofikilia.Dubai wameibadirisha kuwa mji wa kitalii,wameita mataifa mengine kui nvest ndani ya dubai,na wame invest sna mataifa makubwa kwenye properties,contruction,manufacturing etc.Uk peke ake hawa jamaa ni moja ya wanaomiliki majengo ya biashara ya thamani,na nchi nyngi tajir wao wapo.Wengi wameenda shule za maana,sio wale wa zamani kutuma tu.mtawala wa dubai ambae ni tajiri ka invest sana London,na nchi nyingi za ulaya na America, ana horseracing team 'Godolphin' fuatilia utajua.kwa ufupi, 95% ya Dubai gross domestic product is non oil based! Case closed!.
Kuongezea tu,kama ungefika dubai,,usa au europe na kuona uchumi unavyofanyiwa kazi usingeandika thread yako.
Kuongezea tu,kama ungefika dubai,,usa au europe na kuona uchumi unavyofanyiwa kazi usingeandika thread yako.