Jamani swali hili la 'sphere' limeshindikana, msaada please.

Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
1,641
2,644
A ship sails due west at 20km/h. It passes due south of point A at 10.00 Am. At 10.30 Am, the bearing of A from the ship is N45E. Find the distance of A from the Ship at both stated times.

Nitashukuru,
 
If the ship is too big, go Gamboshi, talk good to those 900 evel men, the guards of Mr. Magumashi, they will make a ship sink
 
A*

45degree
----------------------------------------------------------
B. C
@10.30 am @10.00 am

Sina utaalamu wa kuchora kwa kutumia simu, ila ukiwa na kalamu na karatasi chora mstari kuunganisha ABC, utapata pembe tatu, pembe ya B ikiwa na nyuzi 45.
Meli inasafiri kutoka C (iko kusini mwa A muda ni saa 4 asubuhi) kuelekea B iko nyuzi 45 kusini Magharibi mwa A kinyume ni kaskazini Mashariki)
Katika pembetatu yenye nyuzi 45 B, one maana hata pembe A itakuwa na nyuzi 45 na pembe C itakuwa na nyuzi 90.
Umbali (distance) wa CB = speed × muda
20km/HR × .30/24

Kutoka C mpaka B umetumia nusu saa, ambayo unaigawa kwa masaa 24.
Jibu 25 km.
Kwa kuwa pembe tatu ina nyuzi sawa B na An basi umbali wa CB ni sawa na CA yaani 25km
Umbali unaotafutwa ni wa AB ambao ni 25× Г2 = 35.35km.
Natumaini umepata mwanga, hata kama jibu halitakuwa sawa.
 
Mchoro wa maelezo
JPEG_20201001_011240_5537911361602977424.jpg
 
Back
Top Bottom