Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Mi naangalia mechi ya Tanzania na Burundi na kuna mtu anatajwa sana kwa jina la sure boy,je ndo yule yule Abuubakar Salumu au mwingine?
Hivi wewe una akili timamu kweli au ulikuwa JERA? kweli sure boy yule wa kuanzia miaka ya 1987(enzi za kina ROGER LILLA wa CAMEROON) mpaka leo awe anacheza mbona unatutafutia BAN bila sababu...maswali mengine uwe unamshirikisha ata mkeo kwanza.
Siyo yeye,huyu ni mtoto wa Aboubakary Salum,huyu anaitwa Salum Aboubakary.Sure boy mwenyewe yaan baba yuko huku Mbezi kwa Musuguri,bwalon,,,ni mtu tu wa kawaida anakaa jiran na Juma Kaseja ndo alimuuzia kiwanja.Huwa tunakutana naye story kibao tunampiga ofa za bia na nini basi.Ndo huyo huyo