Jamani sipati picha

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
jamani sipati picha siku wakianza kuwapa nguruwe na kuku dawa za kichina za kuongeza makalio jamani naitamani hiyo cku maana mh
 
Sasa unatamani kifo!!! Wewe vipi bana!!! Au wewe Chinese? Au umeshatumia dawa za chinese kuongeza mambo fulani fulani?!!!
 
kwanza nipokinyume kabisa na hili jambo na ata nguli alipotupa taarifa kuhusu ngurume na kuku kupewa dawa za kuongeza dawa za kurefusha maisha nilikubaliana na wazo lake lakwenda tegeta tukaanzishe kijiji tuishi uko nasema sipati picha kwamba nguruwe na kuku wakipewa hizo dawa watanenepa makalio or mwili mzima ni hivyo tu mkuu sina maana mbaya
 
KUwa hata na aibu mkuu wangu basi...!
 
Back
Top Bottom