jamani siibiwi kweli hapa?

mtamanyali

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,161
613
ha ha ha ha ha.jpg
jamani hivi hapa kuna mapenzi kweli?
 
Naona hapo hiyo honey unaitwa ya geresha tu, moyoni anakuita ATM!
 
Unamashaka mwenzio kaanza na Hny kamaliza na I love u. lolz, acha roho mbaya jamani..
hizo love u na hny ni zakuzugia tuu, mtu gani tuna wiki hatujaonana hata salamu hakuna anaanza na mambo hayo lol!
 
Naona hapo hiyo honey unaitwa ya geresha tu, moyoni anakuita ATM!

:biggrin1: hapo ni kweli... afu utakuta mwezi mzima hajakuambia 'love u' leo anataka hela hee 'love u' nyingi hata ukitaka kwenda kupata mambo siku hiyo unapewa bila kulazimisha...women women women mhhhh
 
laki nayo ni pesa nowdays...!!!//no

if you approve what she said mpe ...otherwise if you feel kuchunwa act accordingly
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom