mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 613
mmmmmh! ninamasha, mwenzio.....lolz. Yapo tele! Usimuache hny wako.
mmmmmh! ninamasha, mwenzio.
sawa mkuu lazima nijiunge na hawa wanaharakatiNa wewe fanya maandamano kama wenzako hapa
View attachment 54013
hata mwenyewe naipenda kwani inakaa na charge wiki nzimasimu yako nmeipenda
hizo love u na hny ni zakuzugia tuu, mtu gani tuna wiki hatujaonana hata salamu hakuna anaanza na mambo hayo lol!Unamashaka mwenzio kaanza na Hny kamaliza na I love u. lolz, acha roho mbaya jamani..
hizo love u na hny ni zakuzugia tuu, mtu gani tuna wiki hatujaonana hata salamu hakuna anaanza na mambo hayo lol!
Unachunwa wewe....stuka!!
Naona hapo hiyo honey unaitwa ya geresha tu, moyoni anakuita ATM!