Jamani siasa si ya Tanzania tu, hebu turudi nyuma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani siasa si ya Tanzania tu, hebu turudi nyuma!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lole Gwakisa, Mar 5, 2012.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Vijana wa leo wanaona siasa ni ya hapa bongo tu, tofauti na miaka hiyoooo!!!
  Naomba mwenye ubavu wa historia aweke majina ya viongozi wetu hawa wa miaka hiyo!
   
 2. K

  Keil JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lole Wakisa,

  Mimi nilitaka kukuuliza wewe mkongwe majina ya hao. Hii picha nahisi ilipigwa kati ya mwaka 1966 na 1970, based on history ya Obote (alipinduliwa Jan 1971) na Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu Wa Za Banga (aliingia madarakani Nov 1965).

  Niliobahatika kuwafahamu ni Mobutu (wa kwanza kulia) Mzee Kenyatta (wa tatu kutoka kulia) na Haile Selassie (wa nne kutoka kulia) hawa ni walio mstari wa mbele.

  Mstari wa nyuma: Obote (wa pili kutoka kushoto), Nyerere (wa tatu kutoka kushoto), Ken Kaunda (wa nne kutoka kushoto).
   
 3. S

  SHIMBONONI Senior Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mkuu mie nimemtambua Jean Bedel Bokassa "The self Proclaimed Emperor of Central Africa" huyu yuko mstari wa pili mbele.
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Du! nimeweka changamoto hili ili watu tupige history ya Kiafrika kidogo.
  Wa kwanza mstari wa nyuma ni David Dacko (anayechekelea mwalimu akishika bega Jean Bedel Bokassa)wa Equetorial Guinea na wa mwisho mstari huo huo ni Maurice Yameogo wa Upper Volta(sass Burkina Faso).
  Tendelee na wengine.
   
Loading...