JAMANI SAMAHANI KWAKUMFANANISHA SUGU na FA. SAHIVI NIMEELEWA.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JAMANI SAMAHANI KWAKUMFANANISHA SUGU na FA. SAHIVI NIMEELEWA..

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Somji Juma, May 4, 2012.

  1. Somji Juma

    Somji Juma Verified User

    #1
    May 4, 2012
    Joined: Jul 2, 2011
    Messages: 2,737
    Likes Received: 804
    Trophy Points: 280
    wana JF niliweka post ya kumshindanisha SUGU na FA..
    Naomba msamaha kwa hilo kwani sahivi nimeelewa tofauti yao ikwap..

    *KWA NYIMBO ZA MAPENZ:-
    chukua wimbo wa MWANA FA alioutoa mwaka jana2011(YALAITI) aliomshirikisha LINAH alaf chukua na wimbo wa SUGU alioutoa mwaka 2003(HAYAKUA MAPENZ) uone upi n zaid...

    *KWA NYIMBO ZA KURUKA:-
    Chukua wimbo wa MWANA FA alioutoa mwaka 2009(NAONGEA NA WEWE) alaf chukua na wimbo wa SUGU alioutoa mwaka 2003(SUGU MOTO CHINI) ufananishe..

    *KWA NYIMBO ZA KIJISIFU..
    Chukua nyimbo ya FA aloitoa mwaka 2009(MSIACHE KUONGEA) alomshirikisha JAYDEE alaf ufananishe na wimbo wa SUGU aloutoa mwaka 2005(KIBURI) alomshirikisha STARA THOMAS..

    kwangu japokua za FA ni za juzi tu na Za SUGU ni za longtym lakin za SUGU NI KALI..
     
  2. Manyanza

    Manyanza JF-Expert Member

    #2
    May 4, 2012
    Joined: Nov 4, 2010
    Messages: 4,447
    Likes Received: 13
    Trophy Points: 135
    wapi figganiga?
     
  3. Viol

    Viol JF-Expert Member

    #3
    May 5, 2012
    Joined: Dec 15, 2009
    Messages: 18,640
    Likes Received: 542
    Trophy Points: 280
    Hapo ungefanya ''msiache kuongea'' na ''wanakuita sugu''
     
  4. Kiganyi

    Kiganyi JF-Expert Member

    #4
    May 5, 2012
    Joined: Apr 30, 2012
    Messages: 1,244
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 0
    Tunashukuru umetubu!!:A S-baby:
     
  5. Mapi

    Mapi JF-Expert Member

    #5
    May 5, 2012
    Joined: Mar 10, 2011
    Messages: 6,843
    Likes Received: 126
    Trophy Points: 160
    FA nae unataka kumweka kwenye kundi la ma MC! Hahahahahahahahahahahahahaha..you were deadly wrong guy.
     
  6. E

    EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

    #6
    May 5, 2012
    Joined: Jan 11, 2011
    Messages: 940
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 35
    huyo fa hata kwa GK bado bwana mdogo kimashairi na kiakili.
    Kinachomfanya aonekane ni vile hana kiburi mkate wake unapomegwa na wanyonyaji.
     
  7. Mwakalinga Y. R

    Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

    #7
    May 5, 2012
    Joined: Oct 22, 2008
    Messages: 2,718
    Likes Received: 22
    Trophy Points: 135
    Fa huwezi mlinganisha na Nguli wa Bongo Hiphop Sugu.Fa anauwezo mdogo kulinganishwa hata na mtu kama Roma,Fid Q,Mwamba wa Kaskazini, .
    Huyu hata kundi la watu kama wa kina GK,Ulamaa,Mike Tee..nk hawezi ingia,anapwaya vibaya mno.

    Huyu anatakiwa awekwe kwenye kundi la vilaza wenzie wasiojua wanafanya mziki kwa hadhira ipi na kwa wakati gani kwa manufaa ya nani. Kina AY ,Diamond...nk
     
  8. LEGE

    LEGE JF-Expert Member

    #8
    May 5, 2012
    Joined: Oct 14, 2011
    Messages: 4,514
    Likes Received: 4,116
    Trophy Points: 280
    Unanibania kupiga nyimbo zangu kwenye kipindi chako wakati mim nimeanza kusikika tokea enzi za short wave,am,mpaka FM.........

    Anamiaka chini ya miaka 18 lakini bado wanamwita malaya.?

    Kiukweli huyu jamaa anajua nin anafanya na nin anakitengeneza.
     
  9. N

    Nkomoji JF-Expert Member

    #9
    May 5, 2012
    Joined: Jun 2, 2011
    Messages: 235
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Wanyonyaji wake ni kina Ruuuge!
     
  10. Pukudu

    Pukudu JF-Expert Member

    #10
    May 6, 2012
    Joined: Jan 7, 2011
    Messages: 2,872
    Likes Received: 595
    Trophy Points: 280
    kiukweli Sugu atabaki kuwa juu siku zote FA anatoka na single yake "yeye na mabinti damu damu" Sugu alikuwa ana albamu ngapi? FA hata kwa Jay More more techniques hatoboi
     
  11. M

    Majala Kimolo JF-Expert Member

    #11
    May 6, 2012
    Joined: Aug 3, 2007
    Messages: 344
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 35
    Wewe ni muungwana hasa baada ya kutambua hilo. Sugu ni zaidi hasa kwenye kuleta idea. Alikuja na Dar DSM, Prof, J akaiga
     
  12. s

    sajo boy Member

    #12
    May 6, 2012
    Joined: May 4, 2012
    Messages: 12
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Safi kijana kwa kufanya hiyo analysis........sugu soooooooooooooooo
     
  13. kichomiz

    kichomiz JF-Expert Member

    #13
    May 6, 2012
    Joined: Feb 28, 2011
    Messages: 10,459
    Likes Received: 1,566
    Trophy Points: 280
    Sugu ni kaka mkubwa jama.
     
  14. serio

    serio JF-Expert Member

    #14
    May 7, 2012
    Joined: Apr 15, 2011
    Messages: 5,375
    Likes Received: 518
    Trophy Points: 280
    sugu moto chini
     
  15. k

    kintakunte Member

    #15
    May 9, 2012
    Joined: Apr 21, 2012
    Messages: 43
    Likes Received: 4
    Trophy Points: 15
    kuna taarabu moja aliimba na lady j dee inaitwa msiache kuongea......inabidi utubu kumfananisha na sgu nipo mikononi mwa polisi maisha yangu bado ni mikosi afandeee
     
  16. Tuyuku

    Tuyuku JF-Expert Member

    #16
    May 10, 2012
    Joined: Jan 6, 2011
    Messages: 2,880
    Likes Received: 1,133
    Trophy Points: 280
    Sugu usimpimie yule wewe
     
  17. dubu

    dubu JF-Expert Member

    #17
    May 10, 2012
    Joined: Oct 18, 2011
    Messages: 3,026
    Likes Received: 328
    Trophy Points: 180
    nyie mnapima ukali wa sumu kwa kuilamba? shauli yenu mnaomtania sugu."mimi dili zangu ni million moja, mbili hadi kumi lakini nikienda bar ikabaki naidai hata kama sh 100.
     
  18. mathematics

    mathematics JF-Expert Member

    #18
    May 11, 2012
    Joined: Feb 21, 2012
    Messages: 3,248
    Likes Received: 22
    Trophy Points: 135
    wanamuita sugu... wanamuita sugu , sugu sugu sugu....!!!
     
  19. Nyundo Kavu

    Nyundo Kavu Senior Member

    #19
    May 11, 2012
    Joined: Dec 6, 2011
    Messages: 189
    Likes Received: 62
    Trophy Points: 45
    "Dawa ya mabishoo ni kuwa bishoo zaidi yao.............. mademu zao wananitumia message kila kukicha..."
     
  20. cmoney

    cmoney JF-Expert Member

    #20
    May 20, 2012
    Joined: Oct 14, 2011
    Messages: 777
    Likes Received: 260
    Trophy Points: 80
    dah ebana unajua sugu ukisikiliza album zake unaweza kynsoma na kupata hata degree...yupo juu ametoa album ya veto 2008 ndani kuna mziki anasema lazima ache wakilisha mjengoni na broo kafanya kweli ...dah kweli kaka mkubwa ni zaidi ya bongo fleva
     
Loading...