Jamani post za A level ni lini?

Wanaochagua ni Walimu Wakuu !
Kila mkuu washule anaenda pale kujichagulia Wanafunzi wake !

Na Wakuu wa shule bado wapo shuleni sahizi !

Sasa pigia mahesabu mwenyewe

:closed_2:
 
dogo nenda tuition kwanza. ..piga hata nusu ua syllabus za masomo yako. Kwann unapata headache wakati kuku ni wako? atakuja tu bandani mida ikiyoyoma.
 
Back
Top Bottom