Jamani P-SQUARE liini??

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,084
4,351
Haha! Si ndo nimeshtuka muda huu sijui nimeota ?? nilisikia hao double P wanakuja tz .lini jamani nataka kuwaona laivu mwenzenu!! Sijui wataimba 'no one like you' loh! Jamani watakuwa wapi? Au weshakuja miye nilikuwa nimelala? Mbona hamkuniamsha?niambieni ukweli wamekuja bado nifumue hela kwenye kibubu zitaozaa!!?? Aaagh!! et babu Asprin Kaizer umelala?nisindikize DEMBA Kasema....mmenichuniaaaaaa!! Mh! Afu kimya ! Wacha nilale!!
 
Last edited by a moderator:
Munkari bado hawajaja, we endelea kukusanya hiyo minoti, peter bado yupo hanimuni si ulisikia amefunga pingu za maisha
 
Last edited by a moderator:
Haha! Si ndo nimeshtuka muda huu sijui nimeota ?? nilisikia hao double P wanakuja tz .lini jamani nataka kuwaona laivu mwenzenu!! Sijui wataimba 'no one like you' loh! Jamani watakuwa wapi? Au weshakuja miye nilikuwa nimelala? Mbona hamkuniamsha?niambieni ukweli wamekuja bado nifumue hela kwenye kibubu zitaozaa!!?? Aaagh!! et babu Asprin Kaizer umelala?nisindikize DEMBA Kasema....mmenichuniaaaaaa!! Mh! Afu kimya ! Wacha nilale!!

hahaha huo munkari unaokupanda saa hizi! kwani hujasikia wamekuja, pacha mojawapo kapatamo ka biutiful Onyinye kake kahongapo saaa kwa ruksa ya bi mkubwa!

pole, kibubu kitahusu next time na itakuwa shoo yangu na Asprin imagine! balaaaa
 
Last edited by a moderator:
hahaha huo munkari unaokupanda saa hizi! kwani hujasikia wamekuja, pacha mojawapo kapatamo ka biutiful Onyinye kake kahongapo saaa kwa ruksa ya bi mkubwa!

pole, kibubu kitahusu next time na itakuwa shoo yangu na Asprin imagine! balaaaa

hahaha! Daah! Kumbe nimeptwa kiasi hicho! Loooh! Cpati picha hiyo shoo yenu na babu cjui atavaaje? Hehehe! Basi itabidi kibubu nikifulumue ili niwatunze ! Cant imagne !!
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaa nimecheka kwa sauti kubwa LOL.......ukadhania kitu cha mapacha bado hakijatia maguu dar

yani we acha! Mbona nimeaibika mtu mzima miye! Hzi ndoto za mapema ni balaa!! Sasa ntaanza kuchelewa kulala kusuudi loh! Maskini wee Psquare wangu! Nilikuwa na hamu wewe ya kuwaona dah! Haki ya nani cjui nani ananamba zao anigawie??!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom