bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Jamani iko hivi kuna binti nasali naye kanisani kwetu, sasa kibinti chenyewe nimekidondokea kabisa sijiwezi from the first time nimekiona.
Mungu si athumani siku moja tukapangwa kufanya kazi ya kanisa pamoja hivyo kikaniomba namba nikakipatia baada ya siku km 5 hivi kikanipigia tukapanga jinsi ya kufanya ile kazi ya Mungu kanisani.
Sasa kimbembe kikawa hiki kimdada kiko too formal hakina mzaa ata kiduchu nimejaribu kuanzisha mazoea ya hapa na pale ile response ni ndogo mno.
Kuna wakati nikituma txt kinajibu very formal natia tumzaa fulani lakini wapi.. Sometime nafikiria kujitosa niseme ninavyojihisi ila hofu yangu kinaweza jifanya kitoto cha kanisa nikaambulia kuniona mtu wa hovyo kabisa....
Kitu kingine kiko smart sana kwa maana ya kichwani huwa kinaniandikia English iliyonyooka sana na hakipendi kuandika au kuongea sana kiswahili. Huwa whatsaap kinaweka picha za trip za nje ya nchi ndani na nje ya bara Africa, kinafanya kazi serikalini.
Naona nilipofikia naweza kuja kuharibu na kindege changu kikaruka nitaumia sana! NAOMNA TUPEENI MAUJANJA nitumie njia ipi nikitie tunduni wadada kwa wakaka karibu.
NOTE:hakipendi swaga za kihunihuni..! Niazimeni maujanja nitawaletea mrejesho iwapo nitafanikisha.