Jamani oneni nchi inavyoliwa. Ni haki yako kulia na kutoa machozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani oneni nchi inavyoliwa. Ni haki yako kulia na kutoa machozi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ta Muganyizi, Oct 20, 2010.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  MOSHI MJINI


  [​IMG]
  Chadema`s Union presidential candidate, Dr Willibrod Slaa, addresses a campaign rally at Mashujaa grounds in Moshi yesterday.
  [​IMG]
  Mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Philemon Ndesamburo, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi, waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa jana.


  Mdogo mdogo baba mpaka kwa muganyizi
  [​IMG]
  HIYO NDIYO TARIME BABA
  [​IMG]  MWANZA

  [​IMG]


  [​IMG]


  GEITA
  [​IMG]


  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
  Na wateja wa tigo wamesha jumuishwa

  WATU WAKIKUPIGIA WASIKIE NYIMBO ZA CHADEMA KWENYE SIMU YAKO FUATILIA HAPA

  1. TIGO NENDA KWENYE SEHEMU YA KUANDIKA SMS ANDIKA 12608 AU 12609 AU 12610 TUMA KWENDA 15007 AU 15050

  2.VODA NENDA KWENYE SEHEMU YA KUANDIKA SMS ANDIKA BUY 771 AU BUY 772 TUMA KWENDA 15577

  3.ZAIN NENDA KWENYE SEHEMU YA KUANDIKA SMS ANDIKA BUY 7141 AU BUY 7142 AU BUY 7143 TUMA KWENDA 15578

  AHADI TANO ZA KIZALENDO.

  1.CHADEMA WOTE NI NDUGU ZANGU NA RAIS 2010-2015 NI SLAA
  2.CCM NI ADUI WA HAKI.SITAKUBALI KUICHAGUA`WALA KUONGOZWA NAYO
  3.NITAPIGA KAMPENI KWA KADRI YA UWEZO WANGU NA KUCHAGUA CHADEMA KWA FAIDA YA WATANZANIA WOTE.
  4.AKILI NI MALI,SITATUMIA AKILI YANGU WALA MALI YANGU KUKAMPENI CCM.
  5.NITASAMBAZA MESEJI HII KWA KADRI YA UWEZO WANGU ILI TULIKOMBOE TAIFA.
  Mungu ibarikitanzania, Mungu mmbariki rais ajaye DR Slaa


  SALA MAALUM.
  Tusali kwa pamoja......
  Asante Mungu kwa kuipenda Tanzania hata ukamtuma mwanamapinduzi wa pekee Dr. Slaa ili kila Mtanzania atakayempigia kura apate kuleta ukombozi wa kweli. Tazama umemtuma kwa wapenda haki ili patakatifu (ikulu) pawe na Amani, Sasa basi Mungu wasaidie watanzania wenzetu wasio na ujuzi wa kutambua nani kiongozi bora wamtambue kuwa amekuwa akidai haki zao yapata miaka 15, Mungu tuepushe na rushwa za vitenge, pombe, simu, Pikipiki na ahadi za uongo maana wewe hupendi uongo.

  Ni katika jina la Mungu Baba tunaomba na kushukuru. AAAAAAAMEN!

  CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEE!

  Hatuoni
  Hatusikii
  Tunadanganyika kirahisi
  Tunafuata mkumbo
  BAADAE TUNALALAMIKA

  Chagua CCM


  Ofisi zetu
  [​IMG]
  MAKAZI YETU

  v


  [​IMG]
  shule zetu
  |
  v


  [​IMG]
  Darasani kwa watoto wetu
  |
  v


  [​IMG]
  Huko vijijini-Dispensary
  |
  v
  [​IMG]  WAO WAKICHAGULIWA....
  Ubalozi wa Tanzania Washington

  [​IMG]
  Ofisi zetu za Bunge

  |
  v

  [​IMG]

  |
  v

  [​IMG]

  Kuna cha kuongeza?
  Sasa tucheze na hesabu 6,900,000/= kwa mbunge mmoja,zidisha mara miezi 12 then zidisha kwa miaka 5 = 414,000,000/= jumlisha 50,000,000/= anayopewa mara baada ya kumaliza miaka 5 = 464,000,000/= kwa mbunge mmoja.


  464,000,000/= siko tayari kuzidisha fedha hii mara wabunge wote kwa miaka 5,calculator yangu itachanganyikiwa alafu niingie gharama ya kununua nyingine.   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ingawa i,ekatika saaana, ila ni thread ya kimapinduzi sana.
   
 3. k

  kakin Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisi wa tanzania ni wajinga tena sana na huwa mimi binafsi inanikera na kuniuma sana maana tumekuwa wajinga kiasi kwamba tunaburuzwa
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  chukua hatua,elimisha watu 100 tuokoe taifa letu
   
Loading...