Jamani nyinyi mliopo maofisini msijione mmewini maisha kwani maisha yanabadilika

Kibwetelo

JF-Expert Member
Nov 21, 2018
734
596
Ni juzi nilienda katika ofisi moja ya kampuni kubwa hapo Njombe, ila nilichokutana nacho ni shidaa of course nilienda kuomba nafasi ya kufanyia field ila daaah! Kuna watu wanaona wamewin kuliko sisi yule jamaa wakati mim namweleza shida yangu yeye alikua na sim akichati utadhani anaongea na mtoto wake ukweli nilichukia sana.

Alikuja kubadilika baada ya kumpigia kumpia sim mkubwa wake, ndo akaanza kunichangamkia uzuri ni kuwa boss wake nilikua nafahamiana nae ila sikumchomea kwani maisha yapo kama Gwalide akisema nyuma geuka wa kwanza hua wa mwisho. Mungu ndie anaeweza kukupatia au kukunyima.

Naomba mnisamehe tu mimi sio mwandishi mzuri.
 
huwezi amini mkulungwa nilikosa kabisa field,kila nikienda wanadengua. nikatoka dar nikaenda mkoani wapi! mwisho muda ukaisha bila field hatimaye nikawa graduate mwenye GPA 4.2 bila ka uzoefu kokote hata invoice inavyofanana sijui.

Mwisho wa siku nimekuwa ndo fundi mkali wao. Usikate tamaa mwana
 
Hawa jamaa wanazingua ila kuna siku tutakutana maeneo ambayo atajuta kufanya ujinga ule.
 
Back
Top Bottom